SALIM AHMED SALIM; MWANASIASA MWENYE AKILI, MTULIVU, WAZIRI MKUU MSTAAFU, MWANADIPLOMASIA MKONGWE NA CHAGUO LA NYERERE KAMA MRITHI WAKE ILA FITNA ZA WAZANZIBARI NA UNYERERE UKAMPONZA, IKAMFANYA ACHUKIWE NA KUGEUKA LULU ISIYO NA THAMANI.
Na. Comred Mbwana Allyamtu -CMCA
Monday 1/1/2023 (🧵Uzi...
Nawashangaa sana watu wenye hasira wananchi wanapouliza kiongozi wao yupo wapii??
Kama uyu anayesema lema ni mpumbavu..... utafikiri yeye ni mtoto wa V.P....ana Stress tupu......hawa ndio wale chawa tena wasiolipwa...
Hawasemi ukweli kwa nini walitolewa kwenye kikao...
Ipo shida kwa hao watu wawili lakini wapambe wao hawa kina Munga hawasemi ukweli lakini watu tunaijua
Ndugu wana jf ni siku za karibuni tuu wananchi wa Loliondo ngorongoro wameondolewa kwenye maeneo yao ya asili...na sasa zoezi hilo limeshaanza wilaya ya Longido ambapo vijiji zaidi ya 30 vya mlima wa Ketumbeine na Gelai wameambiwa waondoke haraka kwenye maeneo yao ambayo wameishi kabla hata ya...
Ndugu wana Arusha na watanzania wote kwa ujumla mkuu wa mkoa wa Arusha, mkurugenzi na mamlaka husika za usafiri walipaswa wawe waneshatumbuliwa mpaka sasa kutokana kushindwa kutatua mgomo uliopo wa magari ya usafirishaji ulioleta adha kwa wananchi mara ya pili sasa ndani ya muda mfupi.
Hali ni...
Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?
------------------
Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha .
Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema Kwa sababu ya Madaraka , fitna , usaliti , uchawi au kwa lolote lile wengi wamekufa na kuzikwa ...
WABUNGE WA CCM WANAHITAJI KUFANYA TATHIMINI YA KINA KUHUSU 2025.
Na Thadei Ole Mushi.
Wanachokifanya Chadema kwa Sasa ni kutokumshambulia Rais Samia kabisa kwenye Siasa zao badala yake wanadili kushambulia wabunge na Majimbo yao. Mfano Sugu anamenyana na Tulia, Lema anamenyana na Gambo, yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.