Recent content by offganga mataba

  1. offganga mataba

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Nadhani yupo kwny campaign mana matatizo uliyo yaainisha hapo ndo yamepelekea magufuri awe tofauti na mtazamo wako,anataka kuyashughulikia bila uoga,kumbuka wakwepa kodi wapo mahakamani na tra imezibitisha ukwepaji kodi wao ni zaidi ya trioni moja,na mahakama ndo mlango wao wa kusepa na historia...
  2. offganga mataba

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Nadhani yupo kwny campaign mana matatizo uliyo yaainisha hapo ndo yamepelekea magufuri awe tofauti na mtazamo wako,anataka kuyashughulikia bila uoga,kumbuka wakwepa kodi wapo mahakamani na tra imezibitisha ukwepaji kodi wao ni zaidi ya trioni moja,na mahakama ndo mlango wao wa kusepa na historia...
  3. offganga mataba

    Nitamtongozaje demu niliyemuona mara ya kwanza?

    Dah wewe kweli ni ekyoma,nimekubali aminia.
  4. offganga mataba

    Rais Magufuli atangaza safu mpya ya Makatibu Wakuu, Eliakim Maswi apelekwa TRA

    Vipi kuhusu David Jairo?hebu kumbuka vizuri,alafu jiulize hizo accusations no sawa?
  5. offganga mataba

    Acheni serikali ishugulike na dk Mwaka.!

    Kweli kaka kula like
  6. offganga mataba

    Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Mkuu potezea hakika nakwambia hatakusahau maisha yake yote its a matter of time
  7. offganga mataba

    Gazeti la Dagens Nyheter(Sweden); Magufuli atajwa kuwachonganisha Marais wenzake na wapiga Kura wao!

    Mi nadhani inampa imani ya kuendeleza harakati zake kuwakomboa wananchi ,go magufuli go.
  8. offganga mataba

    Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Ilikuwa ni wajibu wa chama kuhakikisha kampeni zinafanyika iwe isiwe lazima chama kiwe na pesa kuhakikisha mgombea wake anaendesha kampeni nchi nzima,kumbuka chama ni taasisi kubwa sana inazo biashara zake pamoja na ruzuku kitita kuhakikisha chama na mgombe wake wanashinda,hivyo ni kazi ya...
  9. offganga mataba

    Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Maneno yale yalitamkwa na mwenyekiti crip zipo zipitie ujiridhishe utaelewa huna haja kulumbana sana deal na ushahidi.
  10. offganga mataba

    Upotevu wa Makontena 349 ICD: Nane akiwemo Masamaki wafikishwa Mahakamani, Wakosa dhamana

    Mnaumwa,kinachowasumbua ninyi ni ile immigration ya wasukuma kutoka usukumani miaka ya hamsini,sitini,na sabini ktk maeneo ya sengerema,geita,biharamulo hadi kahama miaka hiyo na sasa wame tapakaa kote huko utadhani yalikuwa maeneo yao ya asili.
  11. offganga mataba

    Tanzia: Mwalimu mkuu Mikumi afariki baada ya kutoka TAMISEMI

    Deo nimecheka hadi machozi asante mkuu kwa kibonzo.
  12. offganga mataba

    Mabasi ya UDA yakamatwa, Ridhiwani Kikwete ahusishwa

    Mtoa mada tra sio dagaa ,nchi haiwezi kufanikisha jambo lolote la maendeleo kama ina mamlaka ya mapato corrupt, iwe marekani au afrika hawa ni muhimu sana katika ukuaji wa uchumi wowote,bila nidhamu ya tra hatuwezi fika popote,hivyo bac hawa si dagaa,ni nyangumi,uzembe wao unaligharimu taifa...
  13. offganga mataba

    Wafanyakazi wa TRA Geti no. 5 waswekwa ndani mchana huu

    Napata shaka na uelewa wako,huwezi kupiga hatua kama nchi kama mamlaka ya mapato ya nchi ni corrupt, iwe marekani au afrika,hivyo ipo haja kushughulika na t.r.a kwanza kabla ya kuwatafuta washawishi wao,bila tra kurubunika upotevu usingekuwepo.
Back
Top Bottom