Recent content by NYUMBANITU

  1. N

    Natafuta rafiki wa kike

    weupe wa mkologo hapana mpendwa
  2. N

    Natafuta rafiki wa kike

    Habari wapendwa, Mimi ni kijana ninaejitambua na mwenye malengo, nina miaka 31 naishi Dodoma. najitokeza kwenye jukwaa hili kwa lengo la kutafuta, mwanamke tutakaeweza kuanzisha urafiki/mahusiano yatakayozaa matunda ya kua mke na mme kama tutaendana. Natamani nipate mwanamke alie serious...
  3. N

    wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume.

    kisukari na pressure nishawah pima hivyo sina mkuu
  4. N

    wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume.

    kuna mdau anatumia jina la "Mudushi" niliona katoa ushuhuda kua aliwahi kua na tatizo km langu na alitibiwa muhimbili kama yupo jaman naomba aje humu afunguke zaidi. au kama kuna mdau alishawahi pona kwa njia ya hospitalini anisaidie. naplan kwenda tena Hospital nyingine ya hadhi ya rufaa...
  5. N

    wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume.

    nimezipitia dalili za tez dume hata jana bbc walikua na makala ya tez dume sina hzo dalili. na hio ya kupungua nguvu za kiume sio dalili kubwa sana inayochuliwa uzito kwenye dalili za tezi dume
  6. N

    wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume.

    kiukweli nimeanza waka 2009. na hali ilikua sio mbaya sana km sasa hv. but kuanzia 2012 na kuendelea ndo nguvu zimezid kupungua sana, yaan km sasa hv ni zero point km ingekua ni kwenye kipimo
  7. N

    Wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume

    wadau naendelea kusubiri michango na ushaur toka kwenu, mkipata muda nawaomba endeleeni kutupia nitakuwepo online kesho jion to see your feedback, i seriously need a solution to this problem.
  8. N

    Wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume

    namba yangu sijaiweka bado hio ni ya mdau nadhani alikua anaitoa. unamawasiliano naye huyo bibi? bdo nataman nipate mdau aliewah pata au anajua suluhisho la hospitalini kwanza mana miti shamba nimekula sana nishamaliza mpunga mwingi sana
  9. N

    Wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume

    hilo la asali nishatumia sana hadi ile ya nyuki wadogo kuna mtu alinishauri lakin ckuona effect, na kuna Dr mmoja maarufu sana anaitwa docta Nelson wa mwanza hua anakipind RFA usiku wa mahaba, hua anadai anadawa fulani ambayo inatanguliwa na mazoezi ya kushtua misuli, niliwasiliana nae...
  10. N

    Wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume

    wadau nashukuru kwa maoni mlioanza kuyatoa, alieuliza kuhusu masterbation nilikua napiga zaman mara moja moja sana yaan, na tatizo hili lina zaidi ya miaka wadau miaka ya 2009- 2011 ilikua angalau kidogo nilikua naweza hata fanya japo si kwa mda mrefu kama wengine but angalau, lakini kadri...
  11. N

    wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume.

    Habari wana jamii forum, leo najitokeza kwanu wadau ili mweze kunisaidia tatizo nilonalo. Tatizo hili nimehangaika nalo mpaka nimekwama, so najua humu naweza pata mtu aliewahi kua na tatizo kama langu na pengine akapata suluhisho akaweza nisaidia njia ipi alitumia. mimi ni miaka 29 sasa hv na...
  12. N

    Wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume

    Habari wana jamii forum, Leo najitokeza kwenu wadau ili muweze kunisaidia tatizo nililonalo. Tatizo hili nimehangaika nalo mpaka nimekwama, so najua humu naweza kupata mtu aliyewahi kuwa na tatizo kama langu na pengine akapata suluhisho akaweza kunisaidia njia ipi alitumia. Mimi ni miaka 29...
Back
Top Bottom