Recent content by NyarokaTheOne

  1. NyarokaTheOne

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Nitajaribu mwakani
  2. NyarokaTheOne

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Dah, nilichelewa kupata hbr hz hata barua tu sikutuma
  3. NyarokaTheOne

    TUHUMA ZA RUSHWA BUNGENI: Wabunge Kangi Lugola, Victor Mwambalaswa na Sadiq Murad waburuzwa mahakamani

    Hao wabunge waliokutwa na tuhuma za ufisadi washtakiwe mara moja kwani hiyo ni tamaa ikizingatiwa wanakula mishahara mikubwa na marupurupu mengi, wanakula pesa za wavuja jasho wakulima.
  4. NyarokaTheOne

    Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

    Aendelee kupiga Kaz itakayoendana na ukubwa wa mshahara huo
Back
Top Bottom