Recent content by NOHEMBRE

  1. NOHEMBRE

    Kila tunapoonana nakuwa kwenye hali ya ovyo ovyo lakini nampenda

    Sasa hiyo kumjua ni kwa mda gani mbona umechanganya madesa, au ndio life lipo disparate [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. NOHEMBRE

    Happy birthday to meeee!!

    Unapenda kudeka wewe
  3. NOHEMBRE

    ''Nikome, mimi nina mtu wangu", nitalikwepaje hili?

    Hata mimi nataka kujua nilimmis sana
  4. NOHEMBRE

    Nikifanya hivi nitakuwa nimedhulumu?

    Ok pamoja sana Kaka umetisha
  5. NOHEMBRE

    App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Salaam. Kwa mwenye kujua tatizo hili naomba anieleweshe, mimi natumia jamii forum app, lakini Kuna tatizo la kutokufunguka kwa picha, unafanyaje kutatua changamoto hii?.
  6. NOHEMBRE

    K Vant ilivyosababisha bosi wangu pisi kali anichukie mpaka leo

    Sasa wewe kama hupendi ngono hapa duniani unafanya nini?
  7. NOHEMBRE

    Nikifanya hivi nitakuwa nimedhulumu?

    Mzee umesomea sheria nini? Nakuelewa vizuri hapo kwenye law of contract act.
  8. NOHEMBRE

    Ni "red flags" gani ukiziona kwa mwanaume unaona hafai kuwa naye?

    Hata mimi pia tupeni maujuzi wataalam
  9. NOHEMBRE

    Ni "red flags" gani ukiziona kwa mwanaume unaona hafai kuwa naye?

    Hizi red flags zote ni Batili kama huyo mwanaume wako atakuwa na mtonyo wa maana uongo?
  10. NOHEMBRE

    K Vant ilivyosababisha bosi wangu pisi kali anichukie mpaka leo

    Alikwambia watu wanamuogopea nini?
  11. NOHEMBRE

    K Vant ilivyosababisha bosi wangu pisi kali anichukie mpaka leo

    Kweli mwanangu huyu sio riziki aisee
  12. NOHEMBRE

    K Vant ilivyosababisha bosi wangu pisi kali anichukie mpaka leo

    Wewe a angalau umeumia mimi nahisi kufa kufa kabisa vyenginevyo hii iwe CHAI
  13. NOHEMBRE

    K Vant ilivyosababisha bosi wangu pisi kali anichukie mpaka leo

    Watu wanapambania kombe wewe unapambania pombe hatari na nusu, kama Kuna mwanaume yeyote ashawahi kufanya kama wewe huyo sio mwanaume nipo pale [emoji117] nimekaa.
Back
Top Bottom