Recent content by nmiku

  1. N

    Kama Slaa, Migiro, Salim, Lowassa, Shein hawafai kuwa Rais; nani atatufaa 2015?

    Mind u, small minds discuss about people, great minds discuss issues. Sasa wewe wenzako wanadiscuss mambo ya maana wewe unatuletea mambo ya nani kajamba! Hapa hapakufai tafute kitchen party uende huko.
  2. N

    Ni busara tu ndio itaokoa CHADEMA

    Kuna mahali unaweza kuamua kufanya suluhu na mahali hiyo suluhu haiwezekani bali kuchukua hatua sahihi. Kilichofanyika kwa aklna Zito ni sahihi. Ndumila kuwili unaweza kufanya naye suluhisho? Ukigeuka kakunasa! Na hawa CCM wanaoleta domo lao hapa hapahusu. Malengo yao ya kumtumia...
  3. N

    Wanawake mkifikisha miaka 28 nakuendelea...ndoa ni bahati nasibu

    Ahaa! Nampatapata huyu jamaa. Kila akipiga hodi anapigwa chini. Sasa afanye je? Kaamua kuwasagia kila akipata nafasi. Mbichi hizi sizitaki! Pole wee!
  4. N

    Ramadhani ilivyomchukua Spika Makinda. ujumbe tosha kwa wanasiasa wanawake wa chadema

    Yeye kuvaa vazi hilo kuna uhusiano gani na wabunge wa Chadema? Hata hivyo yeye anajulikana kwa kujipendekeza na hapa yuko kwenye harakati za kujipendekeza. Simamia nafsi yako ikutumavyo na siyo nafsi za wengine!
  5. N

    Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

    You can only use title 'Engineer' upon being registered by the Engineers Registration Board after successfully meeting laid down procedures among them, your level of engineering qualifications, experience after graduation, passing board exams, report submitted showing experience and whether it...
  6. N

    Maoni Binafsi: Ujio wa Bwana James Ole Millya ndani ya CHADEMA

    Ukiwa na akili timamu ukishika mkaa wa moto ukaonja joto lake nafikiri hutarudia tena kulishika. Chadema walishalishika kwa hiyo si wajinga wakalishika tena! Nafikiri wana karata ambayo wameishika kwa kupitia huyu aliyehama kambi ili baadaye waitumie kufunga goli la kisigino. We just wait and...
  7. N

    Chadema sasa chakomaa kisiasa- Arumeru Mashariki!!

    :crazy: Yah man! They come cheap nowadays! We have just have to ask him(her) how much has been paid to him to spread those nonstarter smear campaigns in this area. Hapa humpati mtu! Wote wamekiona kitabu na wanajua kuliko wewe. Nenda Arumeru kajaribu kama utasikilizwa na kama utarudi in one...
  8. N

    Tamko la TPN: Ni uzalendo au ukada?

    Mimi sikubaliani na statement kuwa uchumi wa dunia umedorora kwa hiyo hata sisi hali mbaya tuliyonayo ni katika mwingiliano uliopo! Ni tegemeo langu kungekuwa na management nzuri ya resource tulizonazo tungekuwa tunaandika nne! Tatizo ni mismanagement iliyopo kutoka juu mpaka chini-corruption...
  9. N

    Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

    Nafikiri mmetoka nje ya topic yenyewe! Huo udini ndio tunaupiga vita nyie ndiyo walezi wake. Let us be matured and act with maturity.
  10. N

    Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

    Tatizo la Z.K ni kiherhere kama alivyosema mwenzetu. Hebu fuatilia mambo yake huko nyuma utaona ni kweli. Kwanza anapenda publicity, pili awe juu ya yote. Check alikomfikisha Kafulila. Haachi hapo, pia ni mpenda madaraka. To me he is not a good material in politics.
  11. N

    TBC aibu tupu kwa taifa

    Wewe hujawajulia? Kwenye kujadili mambo yanayowafagillia CCM na serikali ndiyo wanaonyesha kwa mbwembwe. Ikitokea mjadala unaiwajibisha serikali hasa kutoka kwa upinzani wanafunika kwa kuweka hayo matangazo na kama hilo la vazi la taifa ambalo kwetu sisi Watanzania siyo wakati wake kuna mambo...
  12. N

    Serikali ya Tanzania yatoa tamko, yamlilia Gaddafi

    Vipi mauji yaliyofanyika wakati wa uchaguzi uliopita? Hao walikuwa kuku siyo binadamu? Wanachotendewa wananchi na wawekezaji walioletwa na huyo huyo Membe na wengine kuuwawa kama huko Mara ameona sawa? Asome alama za nyakati - wote waliokuwa wanawanyasa raia wao wameishia pabaya. Time will...
  13. N

    Serikali ya CCM chanzo cha migogoro kati ya wananchi na wawekezaji

    JK katoa mpia juzi kuwa Tanzania kamwe haiwezi kuendelea bila wawekezaji! Tunatakiwa tukumbuke Baba wa Taifa letu alivyokuwa anatukumbusha mara mara kuwa raslimali zetu heri zibaki ardhini mpaka watoto wetu watakapokuwa na uwezo wa kuvuna wenyewe. Alijuwa fika ukiwaruhusu hao wanaoitwa...
  14. N

    mambo ya OBAMA

    Hapo anaulizwa kwanini nchi yako ni maskini hivyo wakati mna bonge ya rssilimali? Jibu likawa hata mimi sijui. Obama hoi.
  15. N

    what are priorities of our leaders?

    Tatizo la viongozi wetu ni kulewa madaraka. Wao wanafikiria wako juu ya chochote kwa hiyo hakuna wa kuwasemea! Bungeni kwa sababu wameout number wapinzani watafanya lolote. Ndiyo maana safari kama hizo zinafanyika kwa hela za walalahoi bila soni! Kuna mchungaji mmoja alikuwa anawaambia wajifunze...
Back
Top Bottom