Kweli ausee kinara hali shwali kbsa npo zangu perfect pub hpa nakamua biere kwa kwenda mbele wake sinza kwa wajanja hali zao ni tete kweli kweli size wamepanga matofali wanaruka viunzi tu
Hawa nabii issa alishasema ili waipate pepo kwanza watisheje na mishagara yao hvi Kuna polisi atakayeiona pepo ni hpna wayafanyayo ni kma laana waliachiwa kangi Kuna maeneo alikuwa anafanya poa sana ila kujipendekeza alizidi acha akapalulane na musiba mwibara
Aisee hta mm ni muhanga wa hpo mloganzila hyo hosptali watu wanasema ni sehemu ya majaribio kwa hao madkatali mm nilipata ajari ya gari nikapelekwa hpo yaani hawajari kbsa ikabidi niombe rufaa niende muhimbili wale masharo baro ndio wamejaa ple
Mpuuzi sana hyu muhindi bingwa wa kuigaiga ameshindwa kuajiri wabunifu kaxi ya kuajiri mapopoma ili atajirike zsidi kupitia wenzie hovyo ili jamaa la mikia😀😀😀
Hyo ndugai mpk leo hapo kongwa pa hovyo k
Hzo barabara za lami kuzunguka kote hko kipindi ccm wapo hpo zilikuwepo vitu vingi sana kafanya ww ulitaka maendeleo gani labda
Mbeya miaka ytee uko walikuwa wanaongoza ccm maendeleo gani yaliyofanyika kna sio sugu aliyeisukuma mpk angalau leo inatizamika usijifanye unaijua sana mbeya kiazi ww
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.