Recent content by NewOrder

  1. N

    Pongezi Waziri Silaa kumsimamisha Mkurugenzi wa Maendeleo ya Makazi vituo vya Mafuta vinajengwa katikati ya Makazi

    Sijaelewa mlalamikaji kama anataka vituo vya mafuta viwe nje ya miji au analalamikia vituo kuwa karibu. Au hata anasema mabadiliko ya hati ya matumizi hayaruhusiwi. Analalamika zaidi kama vile hataki ushindani kuliko kuonesha taratibu hazikufuatwa!!
  2. N

    Paul Makonda amkabidhi Prof Jay millioni 20 ,Atoa ahadi nzitoo ya kumtafutia nyumba upanga ili kuwa karibu na hospitali.

    Kujifunza kuchukua pesa za serikali kumpatia mtu? Ninaona kula lawama kwa Chadema, au kwa kuwa hawatangazi wanachofanya kwa Jay?? Ni kweli unataka Chadema ichangie taasisi binafsi ya Jay? Vipi na taasisi nyingine za watu wengine? Nazo pia wachangie? Watafute nyumba upanga halafu walipoe pango...
  3. N

    Tanzania yasaini mikataba ya Kuuza Hewa Ukaa kutoka Hifadhi 6 za Taifa, UAE na Mo Dewji ndani

    Swali zuri kwa sababu naona jamaa kaelezea maana tu ya jambo zima bila kufananua faida za credit yenyewe. Kiasi cha gesi ukaa kinachonyonywa na misitu kitapewa thamani ya kifedha na fedha hizo hazitakuwa fedha za kukabidhiwa serikali bali credit kwa bidhaa za nishati zinazozalisha gesi ya ukaa...
  4. N

    Profesa Kitila: Serikali imebana matumizi, viongozi hawaishi maisha ya anasa magari yamebaki kwa viongozi wa juu tu

    Huo ndio ukweli!! Safari, makongamano, warsha, mafunzo ndio vyanzo vikuu vya matumizi makubwa ya serikali. Hatujaweza kuthibiti matumizi, na ikiendelea hivi - hakutakuwa na mapato yatakayoweza kutuletea maendeleo!!!
  5. N

    Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

    Sini ilitumika kama hadaa toka mkoloni anajiandaa kutukalia. Itaendelea kutumika kwa hadaa na watu wanaotafuta public sympathy! Tukumbushane! Wakati wa mambo ya bandari - viongozi wa dini waliambiwa siasa na siasa zisichanganywe! Leo ni hao viongozi wa dini wakitumika kuombea shughuli za...
  6. N

    Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

    Kwani hakuna idadi ya juu kabisa ya kujisahihisha halafu tukasema basi? Au ni saba mara sabini? Nisiambiwe hapo nimechanganya siasa na dini!! Ukweli ni huu - imeshaonekana wazi hata tunapopigwa hakuna anayeadhibiwa, watu wetu wenyewe wameweka mikataba yenye masharti dhaifu ili kutengeneza...
  7. N

    Mahakama Yakubali Ombi la Mhasibu Kupinga Uamzi wa Rais Samia Kufukuzwa Kazi

    Kwani jamaa ndio karudishwa kazini? Hivi vijana wengine uhovyo wa kiwango hiko mnaupata wapi? Unarukia jambo nusu katika kutaka kuelezea jingine kwa ukamilifu. Kwa akili yako unaona hili linafanana hata na kesi ya Mbowe?? Unaona Yona na Mramba waliopotezea 232B ni sawa wakahukumiwa kifungo cha...
  8. N

    CHADEMA Haina Mtu Anayeweza Kushindana na Rais Samia katika Sanduku la Kura uchaguzi Ujao

    Mkuu, uko na kiwango cha kutojua na kujipendekeza cha kiwango cha juu sana!! Katika hali ya kawaida kabisa, unawezaje kulinganisha embe na chungwa na kusema moja ji tamu kuliko lingine?? Nilidhani ungekuwa na ufahamu na ukalinganisha embe ya Tabora na ya Morogoro, kwa mfano! Kwq mantiki...
  9. N

    Kama misingi ni kutochanyanga dini na siasa, ilikuwaje CCM ikampitisha Askofu Gwajima kule Kawe?

    Unafiki wa serikali ndio chanzo cha matatizo! Inakubali uwepo wa dini mbali na hata kufikia kuzisajiri. Inazitumia katika maendeleo ya jamii. Inazitumia katika chaguzi. Serikali inatumia “muogopeni Mungu”. Inaita hata viongozi wa dini katika shughuli zake. Dini nazo zinaita viingozi wa serikali...
  10. N

    Askofu Shoo Hajasema anaunga mkono Mkataba. Kasema uwekezaji

    Ni kama ukienda kucheza miaka mitatu SAUTI. Walipoenda walienda kama TEC, BAKWATA na CCT. Hawakwenda kama taasisi moja bali tatu. Unatarajia kwa utofauti wao pia watoe maoni yao kwa njia moja, wakati mmoja, namna moja?? Huku wakiwa hawana ushawishi wa aina moja, msukumo mmoja na ujasiri wa aina...
  11. N

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Uko sahihi kuwa hawawezi kuipangia serikali cha kufanya! Ninaamini utasema hivo hivo kwa kikundi chochote, hata wananchi wenyewe!! Na msiwatumie kuzungumzia uasherati, ushoga, kuomba mvua, sala wakati wa shughuli nk. Hili ni moja tu kati ya makundi mengi ya watu. Haki hii ya kutoa maoni ni yao...
  12. N

    Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

    Kaka Paskali, bado ninataka kuwa na heshima na wewe. Mada yako ni ndefu sana lakini nitajikita kwenye kichwa cha habari. Nauliza tu, ndio hawa hawa ambao mvua ikipotea huwa mnawaita kufanya sala?? Ndio hawa mnawatumia katika kuelimisha jamii kuhusu ushoga, uasherati na hofu ya Mungu?? Ndio hawa...
  13. N

    Ni kweli tunatamani anguko la CCM, lakini nani Mbadala wake?

    Hii ndio husababisha mkwamo! Hata katika wabaya, kuna mwenye nafuu. Ninatamani anguko la CCM na mwingine achukue uongozi. Bila mwingine kuchukua, CCM haitajifunza wala mwingine hata kama atakuwa na uwezo kuliko CCM naye pia hatahifunza. Akiondoka CCM atarekebisha kutaka kurudi, kadhalika...
  14. N

    Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

    Mleta mada anaweza kuwa sahihi kutaka Lissu alete ushahidi wa au IGA au/na HGA kuwa na vifungu vinavoonesha mgawanyo, muda wa mkataba nk. Lakini, kwa kuwa nia yake ni kutaka tupate kuona - naye pia ana wajibu wa kuleta kikataba ya IGA na HGA ambayo nchi yetu iliwahi kuingia ikiwa haina mambo...
  15. N

    Kwa Mara ya kwanza TANESCO imepata faida ya Shilingi Bilioni 110. Hongera Maharage Chande

    Sijaona nia yako ya kumpongeza Rais. Je ni sahihi lawama za TTCL, ATCL, TRL na wengine kufanya vibaya pia zikaelekezwa kwa Rais? Au ni sifa tu ndio kwa Rais na lawama zinyamaziwe au zipelekwe kwa wakurugenzi wakuu?? Ninadhani pongezi zipelekwe kwa watendaji - Tanesco management na board!! Hii...
Back
Top Bottom