Recent content by Newman

  1. N

    Swali kwa mheshimiwa Zitto !!!!

    Watanzania wengi wana chicken vision, mambo mengi tunayaangalia kwa upeo mfupi sana, nakubaliana na BWM watanzania ni wavivu wa kufikiri! Ushahidi kwamba zitto alikuwa target, ni pale tu hata zitto mwenyewe leo asingekuwa hai au ni mahututi hospital! sasa kuanza kutafuta contents za...
  2. N

    Aliyesababisha kifo cha Salome Mbatia akamatwa

    Mungu ni mkuu na mwema sana!!! naamini ataendelea kumlinda mh. Zitto na kila aina ya hila na ubaya unaolengwa kwake!! It looks as if he was the target!!
  3. N

    Rostam (Mbunge) anawahadaa wananchi wa Igunga

    Nakupongeza FD uko muungwana!! ccm kama chama cha siasa kilishapoteza ile nuru na umakini kiliokuwa nao miaka ya 70 na 80!! nionavyo mimi ccm ni mkusanyiko tu wa watu wengi kati yao wenye kulenga maslahi binafsi. Kwa hivyo hata hiyo nec na cc za ccm ni kama magenge tu ya watu wengi kati yao...
  4. N

    Rostam (Mbunge) anawahadaa wananchi wa Igunga

    Angalau sasa naweza kutathmini mamna ulivyo! dr. kafumu hakujitoa kwenye kura za maoni, nimesema walikuwepo wengine na walishiriki hadi mwisho hakuna aliyejitoa, lakini baada ya kukuambia hivyo what do you want? Lakini si kweli ulivyoeleza juu ya dr. kafumu, yeye ni kamishna wa madini, kuna...
  5. N

    Rostam (Mbunge) anawahadaa wananchi wa Igunga

    Anaelewa kutoka wapi?? ni wapi pengine serikali inakutana na wawakilishi wa wananchi zaidi ya bungeni??? mipango yote ya serikali lazima isemwe bungeni tu!!ili ipate kibali cha utekelezaji. hakuna mahali pengine pa kusemea, labda kama unapafahamu tuambie. Kwa nini wewe unacapitalize dhana...
  6. N

    Rostam (Mbunge) anawahadaa wananchi wa Igunga

    Walikuwepo wagombea kwenye kura za maoni kupitia ccm, namkumbuka mmoja dr. kafumu, lakini pia kotoka vyama vya upinzani walikuwepo, akiwemo mwanamke mmoja.
  7. N

    Rostam (Mbunge) anawahadaa wananchi wa Igunga

    Hivi kuleta mradi wa maji kwenye kijiji kimoja katio ya vijiji zaidi ya 136, ndio wizara inafanya kazi yake vzr? wakati kwanza vipo vijiji vyenye shida ya maji zaidi ya hicho kimoja kilichopata mradi! Halafu unajuaje wananchi wameridhika na majibu ya serikali, na kwamba yeye kama mbunge wao...
  8. N

    Rostam (Mbunge) anawahadaa wananchi wa Igunga

    Kama hali ndio hii kwamba mtu hawezi hata kutofautisha mgawanyo wa kazi kati ya nguzo tatu za utawala, Tanzania itachukua muda mrefu kuendelea. Uliyoonyesha hapo ni taarifa za serikali kupitia wizara zinasomwa bungeni, aliyeandaa taarifa hizo ni serikali siyo mbunge, na inafanya hivyo kwa...
  9. N

    Rostam (Mbunge) anawahadaa wananchi wa Igunga

    Tusaidie kutaja hayo maendeleo unayoshabikia, na ni katika sehemu gani ya igunga! Kuendelea kujadili hoja na watu wa aina yako, ni kupoteza muda tu, unavyojibu inadhihirisha hata huko igunga hukujui, unasoma na kusikia tu kwenye vyombo vya habari! Kuwepo kwa wabunge wengine waliogombea kwa...
  10. N

    Rostam (Mbunge) anawahadaa wananchi wa Igunga

    Kwanza mbunge haombi misaada serikalini! ni wajibu wa serikali kuwafanyia wananchi kila linalowezekana kuwaletea maendeleo! mbunge anakuwepo kuikumbusha serikali wajibu wake na kuainisha vipaumbele vya maendeleo jimboni kwake! Watu hawachagui mbunge ili eti yeye ndiye ajenge barabara, ajenge...
  11. N

    Rostam (Mbunge) anawahadaa wananchi wa Igunga

    Mwanasiasa, Roho nzuri unayosema ikoje??? kualika watu na kuwapikia pilau wale??? au kugawa fedha elfu tano tano kwa wale wenye shida kila wanapokuja kwako. Wananchi wa Igunga wanahitaji kupata mwakilishi mwingine sasa!! kama rostam ana roho nzuri bado anayo nafasi kuwasaidia watu na si...
  12. N

    Rostam (Mbunge) anawahadaa wananchi wa Igunga

    Ubunge ni uwakilishi, hivyo kama mbunge zipo anafanya kazi tatu muhimu za uwakilishi: 1.kuwa sauti ya wananchi wa jimbo lake bungeni kwa mema au mabaya, 2. kusemea chama chake bungeni, 3. kushiriki kutunga sheria za nchi. Kulingana na kazi hizo tatu kwa vyovyote vile inavyokuwa lazima...
Back
Top Bottom