Recent content by Nelson noe

  1. N

    Kama CHADEMA ingekuwa CCM, ni wazee gani wanaweza kuunda Baraza la Ushauri la Wazee?

    Faida ya hao wazee wa ccm ni ipi mbona hainekani watu wanachota pesa tu na hao wapo
  2. N

    Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    Kinyonga kazini chezea mzito kabwela
  3. N

    Habari na Picha: Mkutano Mkuu wa ACT-Tanzania ulivyofana.

    Mbona kama mkutano wa mbeya city uo au zito kaama simba kama maruwe ruwe vile naona
  4. N

    ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    Iyo act ni nini? au ni tume hurumpya ya ukaguzi wa hesabu za serikali mbona sielew
  5. N

    Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

    Hahahahhahahahah poleeee Peopleeesssssssss
  6. N

    Nina mtaji wa Tsh 1,500,000, nifanyaje ili kuizalisha?

    Ntafute ntakwambia cha kufanya ukiwa tayari ncheki
  7. N

    Natafuta eneo la kufungulia mgahawa

    Natafuta eneo la kufungulia mgahawa kwa Dodoma mjini au moshi mjini au arusha mjini kwa anaejua eneo lilipo. Naomba tuwasiliane
  8. N

    Natafuta eneo la kufungulia mgahawa

    Kwa waliopo Dodoma mjini naombeni ushirikiano wenu na yeyote anaejua mahali kuna eneo moshi au arusha tuwasiliane Tafadhali naombeni ushirikiano wenu
  9. N

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Mimi in mkazi Wa arusha Nina wazo la kufungua mgahawa na Nina mtaji Wa tsh 800000 je itatosha au niifanyie nini.
  10. N

    Lema akamatwa na Polisi na kuachiwa leo hii

    Umekufa ww ambae hata alama za nyakati huoni
  11. N

    CDM kushindwa mpaka na ADC NI AIBU YA MWAKA!

    We ubongo wako utakuwa na makamasi kama sio tindikali ujui uimara wa chadema mulze nape kinana au nchemba
  12. N

    Kinacho endelea Arusha mpaka sasa nimeshindwa kukiamini Lema kila kona hatakiwi mfano sombetini

    Uyu mleta mada hajielew vichaa nmezoea kuwaona wanavua nguo wengine wanabeba makopo ,makaratas, nk ila kichaa cha huyu mleta mada n kipya sjaonaga sehemu yoyote inawezakuwa hichi n kichaa cha kidigitali sababu hata mirembe hawawezi kumtatulia tatizo
  13. N

    Mwal. Wa history Darasani.

    We na huyn mwalimu mkuu hamna tofaut aise
  14. N

    Ile unafungua tu boneti ya gari.. Unakutana na hii!

    Nawasha gari naiacha ikiwa on naenda kupakia basi
Back
Top Bottom