Recent content by Ndito

  1. N

    The Whole World is Cheating

    cheaters will always be cheaters,do no marry someone who divorced because of accusation of cheating..he/she will never changed..you will end up in pain..
  2. N

    Mtoto wa Kike.

    Mheshimiwa Ndito (Duh...we mmasai au?) Kuoa inaweza kuwa heshima kama ndoa itakuwa ndoa ya kweli kwa maana yake halisi.....kuheshimiana, kuaminiana, kuvumiliana,kupendana, kuridhishana et el. Lakini ndoa itakuwaje na heshima kama: Baba anamtwanga mama makonde mbele ya watoto? Mama anamegwa na...
  3. N

    Nataka ya peke yangu mie

    sharing is health..
  4. N

    Mkeo ameanzisha urafiki na Ex-boy friend wake wa kwanza

    daa halafu wanaume ni wabinafsi sana jamani loh.yaani wao wana urafiki na ma x zaidi ya hata 5 wewe amemkukuta tu umetumiana msg kwenye face book au ni rafiki yako inakua balaa ukija kuchunguza yeye,unakuta hata email ni za mapenzi au inbox ya face book yaani wewe ulikukua rafiki akaumia...
  5. N

    Mtoto wa Kike.

    mimi nakubaliana na wewe aspirin..very strong message usioe kubahatisha mtoto,mtoto ni majaaliwa unayopewa na mwenyenzi mungu,unaweza ukapewa na asiwe na heri na wewe,unaweza ukawa na mke na hao watoto ulizaa na mama mwingine na ukawa mwenye furaha,lakini kuoa unajua ina heshima yake...
  6. N

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    muungano udumu bwana..hatutakawia kuingia zanzibar na viza..hivi ukivunjika tanzania bara itaitwajea?tanganyika tena?
  7. N

    Kuna uhusiano gani kati ya Lowassa na TBC?

    aa watu wameona mazuri yake,,kwanza nenda monduli kule uone barabara..yapo mengi usiangalie mabaya ya mtu na mazuri yapo
  8. N

    Wapendwa wana jf. Natafuta marafiki wa kike.

    mimi natafuta rafiki wa ukweli wa kiume akinifaa inakua real relationship..ambaye hataniumiza moyo wangu akaacha makovu maana nina majeraha tayari..
  9. N

    Mwanya, Uzuri wa asili

    nilikua sijamalizia..mpenzi wako unamkubali kama alivyo ila akikuudhi ndo unaanza kuyachukia mabaya yake haswa maumbile yake ingawaje huwezi badilisha looohh..
  10. N

    Mwanya, Uzuri wa asili

    hujanielewa bana,,yaani mimi najua mpenzi wangu ana mwanya ila walikua wanamzungumzia mtu mwingine wanamkandia..huyo aliekua anakandia mwanya na yeye ndo kugeuka mupenzi anacheka akasema am sorry sikujua kumbe na wewee..
  11. N

    Kuna uhusiano gani kati ya Lowassa na TBC?

    hapo umenena Mwanazuoni..mnyongeni haki yake mpeni....kuna mambo EL,kayafanya lakini watu hawayaoni wanaona mabaya yake tu ndo msemo unasema ukitenda mazuri watu wanayasau mabaya tu ndio wanayakumbuka..
  12. N

    Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

    wengine wakijifanya hawawezi kuwa na wawili wakati wao ndio wenyewe wana watano kwa mpigo loh.....ilimuradi hawana gharama nao
  13. N

    Inakuwaje Mambo haya??

    Inakera sna kupenda usipo pendeka umeona eee Maria..halafu umeishi kwa muda mrefu ukijaribu upendwe ..unabaki kujilaumu labda labda kumbe jibu umependa pasipo na penzi..wanasema penda unapopendwa utakuja penda pasipo na penzi.....
  14. N

    Mwanya, Uzuri wa asili

    mwanaume haipendezi akiwa na mwaya bana..urembo wa mwanya ni mwanamke..mpenzi wangu ana mwanya siku moja nipo na marafiki zangu wakaanza kusema aaa mwanaume mwenyewe ana mwanya kugeuka pembenei mpenzi wangu ana mwanya nikakasirika sana toka siku hiyo sipendi wanaume wenye mianya haipendezi..
Back
Top Bottom