Mkuu ukisha kuwa mtu mwenye dhamana na mamlaka kubwa hvyo hutakiwi kufanya vitu au kutoa matamko kwa kuhisi hisi... kilicho takiwa ni hiyo miili kufanyiwa uchunguzi wa kina ijulikane ni kina nani na kwanini wame uliwa..
Kama ni wahamiaji haramu inatakiwa ijulikane ni wanchi gani?
Na walikuja...
Chukua hii kama itakufaa
Tafuta sehem penye shida ya maji
Nunua tank la lita 5000 moja ambalo utapata sio chini ya 600,000/= tafuta sehem nenda kalikite hapo eneo ambalo pana muingiliano wa watu na panachangamoto ya kupatikana maji... mtafute mtu wa boza la maji safi akuletee maji 5000lts hapo...
Vijana wa Lumumba ikodini team kibakuli
Wakaporomoshe matusi kwenye account ya wakili Thuli mpaka tuzo irudi nyumbani..
Si ni JPM alikuwa anaongoza kwa kura..
Mkuu kama inavyo semekana walikuwa na uwezo wa kupotea itajuaje kama walichukua sample ya baadhi ya vitu bila kuonekana..
Na huenda wamesha kuwa na teknolojia kubwa zaidi kiasi kwamba vyombo vyetu haviwezi kuwaona tena
Hata kwa macho ya kawaida hatuweze kuwaona
Aiseee sikujua kama kuna watu wanapendwa na baba zao kiasi hichi...
Mimi baba yangu alituterekeza tukiwa tukiwa wadogo sana akaicha familia na kwenda mbali na sisi.. mateso tuliyopata hapo kijijini mungu ndio anajua
Mama ndio alipambana kutusomesha kuanzia lakwanza mpaka chuo kwa taabu na shida...
Ha haaa unanipa mashaka kwani kuumwa ni lazima ulazwe?? Ukiacha swala la picha umeshawahi kusikia mama salma ana umwa mpaka kalazwa hosipital??
Kama aliwahi kuumwa mpaka kulazwa na kikwete akaenda kumsalimia hosipital bila kupigwa picha hapo utakuwa na hoja..
Ila kama hajawahi ww vuta shuka...
Kwani yeye ndio kasema apigwe picha mkuu!!! Kila tukio ambalo rais analifanya nje ya ikulu lazima libakizwe kwenye kumbukumbu
Kunawatu ambao wameajiriwa kwaajili ya kazi hiyo
Wacha wafanye kazi yao
Hapa watu naona wana kashfu na kumlaumu jamaa badala ya kutoa ushauri kama mleta mada alivyoomba
Ukiangalia kilamtua anangangania kuwa mtoto sio wa jamaa wakati sio kweli
Kwa maelezo ya mkuu gody alolala na mke wake usiku wa tar. 29>30/8 pia akaja kulala nae tena tar 02/9 then kesho yake mkewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.