Recent content by Nakapanya

  1. Nakapanya

    Naomba kujuzwa namna ya kupata kazi kwenye makamuni ya TBL, TCC, SBL

    Amani ya Bwana iwe nanyi Naomba kuuliza, hivi haya makampuni ya SBL, TBL, TCC KONYAGI na mengineyo huwa wanaapply vipi kazi hata kama hawajatangaza nafasi? yeyote mwenye insight please.
  2. Nakapanya

    Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

    Kwanza hii ni kauli ya dharau pia kwa Rais mpya.
  3. Nakapanya

    Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

    msimsingizie maerehemu.Muacheni marehemu apumzike kwa amani.
  4. Nakapanya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    mwenye link y kuangalia hii mechi online please
  5. Nakapanya

    Mabadiliko ya Kurugenzi CHADEMA Makao Makuu hayatakuwa na tija bila kumng'oa Mbowe

    unaonaje ukimng'oa Baba yako kwenye familia yenu halafu wewe uwe baba uwaletee mabadiliko familia yako?
  6. Nakapanya

    Uchaguzi 2020 Felister Njau: Tulikamata mabegi matano ya kura za CCM ktk Uchaguzi Mkuu 2020

    huyo ni viti maalum CCM au wabubge wa COVID 19? kama ni covid19 nyie pro chadema mmeshawapitisha?
  7. Nakapanya

    Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    uliza hela za kujenga UDOM zimetoka wapi. Uliza hela za kujenga daraja la kigamboni zimetoka wapi and maby more. Mizigo mingibe imesababishwa na JK tusimsingizie JPM
  8. Nakapanya

    Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    Na miradi mingi aliyoifanya ndiyo imepelekea mifuko ya hifadhi ya jamii kufilisika,hivi vikokotoo tunaletewa ni makosa yaliyofanywa na JK.
  9. Nakapanya

    Wakati saruji Kenya ikiuzwa Tsh 12,000/=, Tanzania inauzwa Tsh 24,000/=

    hiyo 12000 ni kenyan shilling au Tanzanian shiling?
  10. Nakapanya

    Majibu ya ACT-Wazalendo kwa hoja za Tundu Lissu

    Tokeni zenu hapa
  11. Nakapanya

    Swali la Uzalendo: What is The Magic of The Same Route? Precision Air Full Flight, ATCL Half Empty

    Kumbe hadi kwenye ndege ukikaa siti za nyuma unarushwarushwa kama kwenye basi....just kidding
  12. Nakapanya

    Guru la Sheria (Halima Mdee) ameishinda Kamati Kuu ya CHADEMA

    ukivumiliana wewe na mke inatosha
  13. Nakapanya

    Waziri Mkuu Majaliwa: Wakuu wa Mikoa kagueni Mawakala wa Saruji, mkiwakuta wamerundika mzigo wakamateni mkawashitaki!

    w wewe nawe kiazi, tutajie sharti moja ulilopewa ulipoenda kukata leseni ya biashara Kwahiyo ukiwa unafanya biashara huruhusiwi kuwa na inventory? Acheni kukurupuka,angalieni mmejikwaa wapi ili uzalishaji urudi kama kawaida.Mnataka kutuambia walioweka store cement ndiyo wanasababisha kupanda...
Back
Top Bottom