Wadau wote wa mwanza, Natafuta nyumba ya kupanga ambayo ina vyumba viwili(2) na choo cha ndani. kama unanyumba yoyote tafadhali nipigie 0767228809 Sisco. Chakudhingatia nyumba hiyo ni vema iwe nzuri.
I dont see any problem, i Hate to see people surrounding us enforce us to do things that we dont like to do. In my opinion i think if she feel in love then she have to go for it . Nothing wrong with a woman and a president himself. i think everyone should think for himself first, by asking...
haaaaa, haaaa , Swala la vibao ngumi inaonyesha ni jinsi gani watu bado hawajakuwa kiakiri sambamba na kutojieshimu. Tunapofanya hivi watoto wetu tunawafundisha nini?. Na kama ingekuwa ni mwanaume ndio kamnasa mwanamke kibao watu na mataifa kwa ujumla wangeliangaliaje swala hili. Cha msingi sio...
Nimejitaidi kusoma hoja nyingi kuhusu huyu mama, kwa sisi wataalam wa maswala ya haki za binadamu bado sijaona hoja hata moja ambayo inadhibitisha ya kuwa yeye anahatia. Kwa ufupi tunapoongelea swala la daktari anayetambulika kiserikali. Serikali huwa inafanya juu chini kumpata daktari aliye...
Kama Ndugu Samwel John Sitta hatachaguliwa Bunge litapelea sana maana Ndugu Samwel sitta alikuwa anafurahisha pia wabunge na kuwafanya wahamke na kuchangia mada hususan wale wanaoingia bungeni wakiwa wamechoka na kuamua kupumzika humo humo bungeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.