Recent content by naahjay

  1. naahjay

    Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Asante nitalifanyia kazi
  2. naahjay

    Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Hapana bado ila Mungu akijalia nitaenda
  3. naahjay

    Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Au naweza kumconsult online
  4. naahjay

    Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Sipo dar labda niende benjamin mkapa dodoma
  5. naahjay

    Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Actually sio mnene sana mwili wakawaida nashukuru sasa kama ni hiyo na dawa nnazotumia za presha tu ndio zitanisaidia au
  6. naahjay

    Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Asante sana umenipa ushauri mzuri ambao sikuupata kwenye mahospitali yote niliyozunguka ubarikiwe sana
  7. naahjay

    Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Kweli kabisa ndugu namuomba Mungu nikiimarika niende huko jkci
  8. naahjay

    Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Dah asante ngoja nizicontrol hizi stress
  9. naahjay

    Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Asante sana umenielezea vizuri na kunipa moyo nashukuru japo hadi sasa sijui natibu nini ni presha au moyo
  10. naahjay

    Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Niliwaza Jakaya kikwete pale
  11. naahjay

    Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Nilipewa za hpylory baada yakuwa postive nikamaliza nkapewa clopidogrel ya moyo nayo natumia na dawa za presha now nilipewa dawa inaitwa isosobide ndio maumivu ya moyo yakaisha imebaki kama kavibration
Back
Top Bottom