Recent content by Mzenji73

  1. M

    Hali si shwari, CCM haijawahi kuingia katika uchaguzi mkuu wowote kwenye hali hii!

    https://www.youtube.com/channel/UCfWANeUvdK286UNmCHoCSew?sub_confirmation=1
  2. M

    CUF Zanzibar: Matembezi ya Timu mshindi kutoka Darajani - Mnazi Mmoja

    https://www.youtube.com/channel/UCfWANeUvdK286UNmCHoCSew
  3. M

    CUF Zanzibar: Matembezi ya Timu mshindi kutoka Darajani - Mnazi Mmoja

    Maandamano pamoja na mkutano, "Uzinduzi Timu ya Ushindi Uchaguzi 2015". Habari za maandamano haya na mkutano huu zilitangazwa siku moja tu (Ijumaa 20-02) baada ya polisi kuwekea mizengwe kutoa kibali.
  4. M

    Je! Ni Wakati Gani Wazanzibari Hujiona Wako katika Muungano?

    "Ukweli hamna wakati wowote tunaojivunia kwamba sisi ni watanzania. uZanzibari upo moyoni kwetu, binafsi yangu najiona vibaaya sana kutumia passport ya Tanzania !! what a shame! OO Allah come the day where I'll hold my own passport bearing the name ZANZIBAR! najivunia uZanzbari wangu na...
  5. M

    Dkt. Shein: Wapinzani wasahau ndoto za kuvunja Muungano, ahutubia Maelfu kisiwani Pemba

    "Shein sio chaguo letu hasa waZanzibari, ni Rais wa kuwekwa tu toka Tanganyika .. tumeishatoka imani nae zamani, ni taahira wa akili tu asiyeliona au kulijua hili. Muungano tuutakao sisi ni wa haki sawa na heshima kwa nchi ziloungana, sio huu wa mmoja kuvaa koti na kutufanya sie koloni lake...
  6. M

    Funua Kawa Mwana Halali Asimame! - Mwanamapinduzi HAMID AMEIR

    "Mkuu unaniangusha yakhe! "GeniusBrain" unaona habari hii refu na haifahmiki!"
  7. M

    Funua Kawa Mwana Halali Asimame! - Mwanamapinduzi HAMID AMEIR

    Funua Kawa Mwana Halali Asimame! Okt. 24/14 Na Salim Said Salim Watu husema ukiyajuwa ya wenzako basi elewa wapo wanayoyajua yako kama au zaidi unavyojuwa mwenyewe. Hali hii ya ulimwengu ndiyo iliopelekea Wahenga kusema: "Funika kombe mwanaharamu apite". Lakini, zama hubadilika na ndio...
  8. M

    Meghji voted as Zanzibari in Constituent Assembly

    " It was said that the chairman Sitta saw the late Ms Shida Salum on his dream voted YES!"
  9. M

    Mzanzibari ni nani?

    "kwa hiari au lazima? tatizo sisi waZanzibari hatupo tayari kuupoteza utaifa wetu ulioukuwepo na ambao tunaupigania sasa. kwetu sisi uZanzibari unakuja mwanzo kuliko uTanzania, (Tanzania = Tanganyika0. Najisikia kichefuchefu sana passport yangu imebeba jina la Tanzania ... japo mara nyingi kwa...
  10. M

    Maalim Seif Ndani ya Star Tv Tuongee Asubuhi

    "nikiwa kama mZanzibari kindakindaki, tena bado kijana, SIKUBALIANI nawe kabisa kwa mawazo yako, kama atajaaliwa uhai na uzima (na in sha Allah tunamuombea) bado tunamuhitaji SANA! maalim, kipenzi cha roho yetu, aje atuwekee misingi madhubuti ya uongozi kisha ndio ajipumzikie, kwa hili hana...
  11. M

    Mwanasheria mkuu wa Zanzibar ajitoa katika uandishi wa Katiba

    "SIO KWELI! ...cuf walishajitoa zamani pamoja na ukawa... bila shaka hataki kuwa miongoni mwa wasaliti wa wananchi hasa wazanzibari ambao wengi wetu tunaona kinachoendelea dodoma ni mchezo tu wa kisanii"
  12. M

    Rais Jakaya Kikwete, ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika Dodoma

    "hivi umefikiria taifa la wananchi 1.5m waZanzibari wanataka nini? na tuseme ndio hujui nini kitatokezea? mamlaka yetu kamili ndio yatakayozaa Tanganyika/Tanzania (or whatever) PURE ambayo haijavaa koti"
Back
Top Bottom