Recent content by mzee wa wau

  1. M

    ATCL Yasitisha Safari zake

    Kama Serikali inaona kuna ugumu kwa wao kununua hisa Precision Air,basi Precision wanunue hisa katika ATCL tena wawe na majority shareholding.Sijui kigugumizi kiko kwa nani? Govt au precision?
  2. M

    tunauza magari kwa bei rahisi

    Yaonekana unabip biashara huwezi pata mtu kwa njia hiyo.Wataka sisi ndio tukupe bei zetu?Fungua mawebsite ya wenzako ujifunze.wao wanakupa mpaka shipping estimates na options nyingi.ambazo zavutia,pia siku hizi kuna suala muhimu la security/guarantee ya pesa za mnunuzi.Atahakikishiwaje kuwa...
  3. M

    Jina la jelly ya kulainisha uke wa mke wangu

    babu kuwa mkweli, kama wataka kuruka ukuta mm sikushauri kwa mkeo,au kama ana bikira basi tumia hiyo KY Jelly ni nzuri sana.
  4. M

    Irene Uwoya chupi nje nje kudadeki

    huo ni udaku mpaka ukachungulie uione chupi.sasa umetusaidia mawazo gani? haijengi.mwache dada wa watu akipatie upepo kijaluba.kwanza ilikuwa ni function ya usiku.
  5. M

    PICHA; Diamond afunika Dar- LIVE!

    True Diamond ni moto wa kuotea mbali. Ushauri wa bure kwa walio karibu yake wamwambie awekeze sasa hayo mafao kwenye assets ( fixed au hata kwenye mashares).Siju kama ana meneja wa kuangalia shughuli zake,mapato yake.ni vizuri akamwajiri atamsaidia sana.
  6. M

    Saadi Gaddafi aitisha Libya

    Poor arabs.wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe.ndugu zetu hawa wanachezewa na watu wa magharibi bila kujijua.maneno matakatifu yaliwataka waishi maisha ya kiislaam.kwa sababu wameyakanusha,ndio yanawakuta,watapigana wenyewe kwa wenyewe,watauwana,wataendelea kuwatajirisha wamagharibi mpaka.
  7. M

    Issa Michuzi pembeni mwa rais Jakaya Kikwete

    bwana namkumbuka sana enzi zake michuzi pale YMCA wakati huo akipiga DJ kalikali.jamaa tumpe thumb up. hardwork pays.
  8. M

    Waislamu mmeanza lini kusabahi maiti? Gadafi awekwa kwenye bucha watu waanza kumuaga

    NdNdugu zetu waarabu wamepotoka.Wanamkosea mungu kwa lile neno Allah Akbar wakati wanafanya vitendo vya kinyama.huo ni udhalilishaji wa dini.
  9. M

    After CDC, 80% of men and 75% of women have lost their virginity

    Ni aibu kweli,kama mungu angetaka kumshusha nabii mwingine sijui ingekuwaje?Bikira zimekuwa adimu sana
  10. M

    Elections 2010 Mahakama kuu inashinikizwa kuridhia malipo ya dowans

    Kulipa ni lazima hiyo hamna mjadala,nadhani wote tunajua maana ya kuvunja mkataba.Tunachotakiwa kama nchi turudi kinyumenyume wale wote waliotuingiza kwenye kadhia hii tuthubutu kuwachukulia hatua za kinidhamu bila kujali hadhi ya mtu.Uchunguzi wa kina ufanywe mpaka kating zile zitajwe.
  11. M

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Mbona Messi ni mfupi sana lakini angalia driblling skills zake amazing!
  12. M

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Kiufupi ndugu yangu hakuna suluhisho la tatizo lako.Hayo ni majaliwa yakoyakubali itumie shaft yako hivyo hivyo na utafurahia maisha.Kwani ndugu yangu utamu hauko mbali sana.ni wewe tu.unaweza kuwa na lirefu ukiingiza tu umemaliza.hamna kusugua sugua lakini ukawa kama na hiyo yako nusu saa...
  13. M

    Kama ukitongoza mwanamke kumbe ana mtoto!?

    nadhani chumamboga itafaa kwa hali hiyo.ili msichezee/kuharibu chakula ya mtoto hahahaha
  14. M

    Misemo ya kichaga!

    kuna rafiki yangu alikuwa na uhusiano na mwanamke wa kichaga,alikuwa ananimabia anashangaa sana na matumizi ya neno yesu wangu,huyo binti hulitumia mara nyingi,ukimshika shika asema yesu wangu,akinogewa wakati wa tendo yesu yesu sijui wenzetu wanalionaje hilo jina
  15. M

    nimevutiwa na kila kila kitu ktk picha hii...wewe kimekuvutia nini?

    manywele hayo mbona siyo romantic,akikusugua na huo mguu waweza chubuka
Back
Top Bottom