Recent content by mwanamperuzi

  1. mwanamperuzi

    Hotuba ya Rais Obama yawaliza wengi

    Hapa ndiyo kitaeleweka zaidi as Trump si wa spot spot...hapo lazima watu waisome namba
  2. mwanamperuzi

    Naomba kujua mafuta mazuri kwa Masaji

    Castro oil si mafuta ya massage, kwa maana ya massage inayoongelewa hapa
  3. mwanamperuzi

    Msaada: Mke wa mtu amenipenda mwenyewe

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  4. mwanamperuzi

    Msaada: Mke wa mtu amenipenda mwenyewe

    Unakoki bastola ww
  5. mwanamperuzi

    Amemwambia kimila hawezi kumuoa

    Kaka kamwambia dada hawezi kumwoa kwa kuwa koo yao haichangamani na ya dada, sasa kaka anaendelea kumwita dada romantic names....how this comes?? Seriously!! Kaka ashamwambia dada sasa naona utafute tuu mtu ambaye atakuoa...mm hapana as family hai agree....and evry day he text her...calling her...
  6. mwanamperuzi

    Kila nikikorofishana nae ananiambia tuachane

    Aiseeee umejibu vyema,,muhusika acha kushangaaaa sasa maneno umeambiwa...huelewi...picha ndo utaielewa??? Mkuu hyu mtu ashakuchoka Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
  7. mwanamperuzi

    Nimechoshwa na U.T.I naombeni msaada

    Majo ni kila kitu, anywe maji hata lita 6 inawezekana na ni kuamua tuu maana ni chupa kubwa 4 za klm,....maji pia yanatibu UTI kabisa na inaisha
  8. mwanamperuzi

    Nimechoshwa na U.T.I naombeni msaada

    Nenda maduka ya waswahili ununue "uwatu" uchemshe unywe...maelezo pita grup la magonjwa na tiba asili facebook linaongozwa na mtu anayeita juma
  9. mwanamperuzi

    KIGAMBONI: Ufukwe wa Kijiji unateketea kwa moto muda huu

    Hivi kumbe hii bado ipo...duh! Hata sitamangi kwenda pale
  10. mwanamperuzi

    Hivi ni kweli haya yanatokea bahati mbaya??? Wakurya nitashukuru zaidi kupata ushirikiano wenu....

    Anyway n post ya siku nyingi ila nakushauri sana uende ukaombewe...ukombolewe nafikiri upo na tatizo hapo
Back
Top Bottom