Recent content by mwambojoke

  1. mwambojoke

    Autoimmune disease

    Hii bado sijapata msaada.
  2. mwambojoke

    Autoimmune Diseases: Kinga ya mwili inaposhambulia seli za mwili kimakosa

    Uliweza pata msaada. Nina ndugu yangu anapitia changamoto ya auto immune upande wa ngozi.
  3. mwambojoke

    Autoimmune disease

    Sasa naombeni ushauri hapa. Nina dada yangu ameugua kwa miezi mitatu sasa. Mwili unadhoofu, unawasha na alitokwa na vidonda sehemu mbalimbali katika mwili. Baada ya kila kipimo kuonyesha haumwi kitu, baada ya kuhangaika ikagundulika anasumbuliwa na Autoimmune. Shida kubwa ikawa vidonda havifungi...
  4. mwambojoke

    Nahitaji kiingereza cha KULWA NA DOTO

    Imeushaje hii Sent from my SM-A736B using JamiiForums mobile app
  5. mwambojoke

    Nabii Bilionea shilla....!!!

    duh
  6. mwambojoke

    Nabii Bilionea shilla....!!!

    hiv huya jamaa alifia wap?
  7. mwambojoke

    Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

    Nimefika , naomba niseme ,kwa mwingine yeyote akifika mwanza basi afanye namna afike Waghill.
  8. mwambojoke

    Niliyoyaona Jijini Mwanza

    Samaki supu wap sahiz watumu? Sent from my SM-A736B using JamiiForums mobile app
  9. mwambojoke

    Kati ya hii miji, upi ni mzuri kwa mtoko?

    Supu ya samaki wap Mwanza ? Sent from my SM-A736B using JamiiForums mobile app
  10. mwambojoke

    Naomba ufafanuzi kuhusu michango yangu ya PPF

    Mkuu @NALO LITAPITA kwema, Nilikuwa na swali kama hili. Je kwako ulifikia wapi baada ya kufuatilia ukiunganisha na maelezo ya wadau?
  11. mwambojoke

    Hivi ni kwanini TANESCO wanashindwa kutoa ratiba ya mgao wa umeme?

    Watu wa Dar mnaweza tumia hii Ratiba
  12. mwambojoke

    Bryason Raphael na Sospeter Bajana nini kimejificha nyuma ya haya majina

    Sasa mbona anacheza timu ya Taifa Tanzania.
Back
Top Bottom