Recent content by Muvina

  1. M

    Waafrika Bado wana Unyani kwa asilimia kubwa sana. Uthibitisho.

    Wanasema nyani haoni kundule we umeonaje?
  2. M

    Wahehe na Tohara

    Ukiwa Muslim lazima utahiliwe no matter kabila. Kwani ni ustaarabu.
  3. M

    Maradhi yanayomsibu binadamu na tiba yake

    Habari mkuu, nina tatizo la kiganja cha mkono kupwita/kuuma kama kina usaha au mdudu, je nitumie Dawa gani?
  4. M

    CV ya Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya

    Hili jamaa haina haja lionyeshe cv, linatoshea kwa ile fasi.
  5. M

    Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

    Manji alimwaga million tatu kwa kila mjumbe wa neki ili kumuangusha Salim Ahmed Salim, wacha akoge mavi.
  6. M

    Inawezekana hii ndio "siri" ya RC huyu ku-behave kama anavyo-behave

    Let this young man do his work, waliopita walishidwa
  7. M

    Hatimaye Mbowe amepona, yote yaliyopita yamebatilishwa

    Waswahili tunasema sasa Shuzi limepata limepata mjambaji!
  8. M

    President aonesha udhaifu wa Waziri mkuu hadharani, hii imekaaje jamani?

    Alipitiwa, na ndio maana anaitwa bin Adam
  9. M

    Do Arabs/Muslim nations know Israel is the chosen nation of God?

    Hapo umemaliza! Muhammad Pbh alikuja na Quran Issa wa Mariam alikuja na nijulishe Mussa alikuja na Torat. Waislam wanamfuata Muhammad Wakristu wanamfuata Yesu Je wajua/wafikiri Jews wao wako dedicated kwa nani? Kukusaidia tu jibu ni kwamba ni Mtume MUSSA aliye wavusha Sham.
  10. M

    Kitambue chombo VOYAGER 1

    Wazungu kwa fix hutowaweza, swala la kufika mwezini ni uongo unaosadikika. Eti walivofika wakaweka bendela ikawa inapepea halafu pia walivokuwa kuwa wanafiki kwamba yule bwana Armstrong yeye mwenyewe alitanabaisha kusikia sauti ya Adhana. Watu wenye akili nyepesi waliamini
  11. M

    Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

    Inavutia kusoma sijui kama kuna vitu havijapikwa humu, si wajua tena ili kunogesha.
  12. M

    Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Kilo hata kwa buku hailipo
Back
Top Bottom