Recent content by Muuza Maandazi

  1. M

    Elections 2010 Nani kuwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni?

    Tuwe na akili huru pale tunapotoa maoni yetu...Hive ni kweli CUF imekuwa CCM B leo????? Dont we remember yalotokea 2001, baada ya kuibwa kwa makusudi ushindi wa CUF? watu wakauwawa?? wakimbizi shimoni mombasa??...Yanayotokea leo znz ni matunda ya busara za kuponya maumivu kwa wazanzibari...na...
  2. M

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Tuwaulize CUF Zanzibar, mpaka juzi Maalim amekubali lakini bado akasema tume haikuwa Thaat Huru.
  3. M

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    tutasikia mengi ya mfano huu... yetu macho na masikio.
  4. M

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    ....maumivu ya kichwa huanza poooleepooleee
  5. M

    Je uliya jua haya kuhusu Clouds Media?

    Mkuu naomba jamani sote tuwe wakweli tu kwamba hivyo vitu nilivyowekea nyekundu vinahusiana....bila ya elimu hiyo analysis lazima itakuwa limited. kama mtu haweza ku read between the lines hawezi kuwa analyst mzuri. Elimu ni msingi wa kila kitu...tusiubariki ujinga eti tuna talents....watakuwa...
  6. M

    Je uliya jua haya kuhusu Clouds Media?

    Mkuu naomba jamani sote tuwe wakweli tu kwamba hivyo vitu nilivyowekea nyekundu vinahusiana....bila ya elimu hiyo analysis lazima itakuwa limited. kama mtu haweza ku read between the lines hawezi kuwa analyst mzuri. Elimu ni msingi wa kila kitu...tusiubariki ujinga eti tuna talents....watakuwa...
  7. M

    Je uliya jua haya kuhusu Clouds Media?

    Mkuu huo mtihani wa kutosha tu!! Hao watakuwa na majina mengine ktk fani ya kurusha ndege ni si marubani...
  8. M

    Nyumba ya Dr. Dau yavamiwa; vitu vyaibwa, vingine vyarudishwa kiana

    You are more than right!!! kavamiwa na kuibiwa Mh. Joel Bendera...mbona tulimuonea huruma kama binadamu, mzazi na mwananchi. Unajua haya mambo ya kutazamana kwa dini zetu iko siku PATACHIMBIKA hapa TZ.
  9. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Jamani ngoja nimtetee huyu mtu...yeye si shetani hata kidogo...tunapomwita shetani tunamnyima fursa ya kutoa maoni yake...he is entitled to his opinions...hivi ndivo anavoona yeye, njia ya kuondoa udini ni wakiriso wote wamchague mkiristo mwenzake popote alipo. hivi ndivo walivo wakiristo wengi...
  10. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    kwa muda wa miaka mingi waislamu walikuwa wakilalamikia udini...kuwa wakiristo ndo wanapendelewa kuliko waislamu...lwo ukiona wakiristo wanalalamika ujue kuna jambo. rejea makala ya Rweyemamu kabla hajakuwa mnukulu. Jamani siku zote waislamu walikuwa na wamekuwa wakiuweka mbele utaifa kuliko...
  11. M

    Jeetu Patel ashinda zabuni ya matrekta!

    kila mwenye nacho huongezewa...ndo falsafa ya nchi hii
  12. M

    Mawaziri wenye PhD Feki hawa hapa!

    Jamani labda hao wengine wamepewa zile za heshima...kama ya JK na Karume.
  13. M

    Kutoka Mtwara katika Picha

    afadhali weye umeamua kuonesha mambo mazuri ya Mtwara...mwingine angekwenda kupiga picha mbayambaya na kuzileta hapa....big up mkuu
Back
Top Bottom