Recent content by mussa mwambalaswa

  1. M

    Waziri Lugola: Kosa la ubovu wa gari ni moja faini yake ni Tsh 30,000 tu na si zaidi

    Tayari Lugola amewaharibia ulaji baadhi ya maaskari [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Tbc mnaegemea mlengo fulani ndio maana watu wanalalamika mimi tangu chanel zimekatwa na kubakia tbc nimehamia Dstv kwa ajili ya michezo pekee kwaherini nitarejea yatakapo fanyika marekebisho makubwa
  3. M

    Ajali zinazokosa rekodi sahihi za abiria waliomo, nini tatizo?

    Hapa Rodrigo Duterte anatakiwa akabidhiwe hii kesi ndio ungeona utamu wake pumbavu kabisa hawa wanaangalia maslahi kuliko uhai wa raia [emoji20]
  4. M

    Umbali wa kwenye maji na umbali wa ardhini kuna tofauti?

    Kama huyajui maji ndugu yangu nyamaza ila ni hatari kuliko unavyofikilia ,hata ukiwa hatua tatu kufika nje yanakumaliza
  5. M

    Mjue kiumbe aina ya Sisimizi

    Kumbe swali [emoji23]nimejiandaa kujifunza kumbe na wewe o
  6. M

    Kamanda Muroto: Mtu mnene afya nzuri lakini mhalifu

    Haishiwi maneno huyu mzee[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. M

    Mliowahi kufika America hawa Blacks American wanatuchukuliaje Waafrica?

    Waafrika tuna matatizo ya akili kazi yetu kuwasingizia wazungu
Back
Top Bottom