Recent content by mukandarasi

  1. mukandarasi

    Ni ajira kila kona ya nchi, Miradi mikubwa yaajiri maelfu ya Wanavyuo hasa Engineers

    Mbona unaleta porojo ndugu? Kwani kabla ya JPM ni chama gani kilikua kinatekeleza ilani yake?
  2. mukandarasi

    Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    Uko sahihi, nakuunga mkono!
  3. mukandarasi

    Tafadhali Anne Makinda jihadhari kwani Pius Msekwa si saizi yako. Msekwa katumia usomi kusema akina Halima Mdee wamefutwa Ubunge

    Hawaihitaji huruma hawa waharibifu wa nchi hii!Atasemaje waandishi wamuache wakati ndiyo muda sahihi wa mzee kugawa urithi wake kimawazo kwa vijana wa taifa hili?
  4. mukandarasi

    Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    A Aulizae ataka kuju!Povu la nini sasa?
  5. mukandarasi

    Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

    Mbona wapo viongozi wa upande wa pili waliowaita CDM Corona na wanaendelea kuongoza vilevile!
  6. mukandarasi

    Tutafakari: Dereva wa Lissu kuelekeza gari nyumbani badala ya polisi kituoni

    Asaidie upelelezi gani tena ?wakati wababe wamekwisha sema faili limefungwa!
  7. mukandarasi

    Mbunge wa Kinondoni bwana Mtulia kulikoni kulindwa na Serikali?

    TISS umesema wewe,yeye kasema wanausalama.Wanausalama si TISS peke yake hata Mgambo ni Mwana Usalama
  8. mukandarasi

    Nashangazwa na kusikitishwa na wanaoshabikia ziara ya Lissu Uingereza

    Umeulizwa sasa tufanyeje,mbona hujibu??
  9. mukandarasi

    Godbless Lema: Mwaka 2020 Nitagombea Ubunge Arusha Mjini na si Hai kama inavyosemekana

    Kwani akisema atagombea,ndiyo kusema kawazuia Makamanda wengine wasichukue form?!
  10. mukandarasi

    Mh. Bulembo Wanaohama vyama wanabadili falsafa zao walizokuwa nazo awali?

    "Nyakati fulani" itakuwa ni kifafa basi!
  11. mukandarasi

    Zitto Kabwe: Kama ningepata mamlaka ningefanya tofauti

    penye nia pana njia "Penye nia pana njia!"
Back
Top Bottom