Hili ni somo kwa mpiga kura,siku tukielewa kazi za mbunge,diwani na raisi ndiyo tutafanya uchaguzi wenye tija.Wananchi wanashangilia na kuchagua kiongozi mwenye pesa ili atoe misaada binafsi nasiyo kusimamia serikali,ili nitatizo kubwa na huu ni mfano hai
Hatari sana
📌 Mchungaji Christopher Mtikila-ni kiongozi wa chama cha upinzaniaTanzania-cha-Democratic Party-(DP).
Mtikila alizaliwa-Iringa, kusini mwa Tanzania, mwaka-1950. Pamoja na shughuli za siasa, Mchungaji Mtikila ni mwanzilishi na mkuu wa kanisa la kipentekoste la-Full...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.