Recent content by mujydebubyz

  1. mujydebubyz

    TMAA timizeni wajibu wenu, njoo huku Babati muone sheria zinavyokiukwa

    Nadhani ingekuwa ni vyema ukatoa taarifa kwa wa husika naamini ni waelewa sana na watalishughulikia vizuri tu.
  2. mujydebubyz

    Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

    Ndugu, Habari, nahitaji kufanya biashara hii ya Unga wa Sembe na Ngano. NAomba ushauri wa ko niwe na kiasi gani niweze anza hii biashara? Asante
  3. mujydebubyz

    Selcom vs Max Malipo

    Unapotaka kufanya biashara lazima ufanye uchambuzi wa UMAFUTI . Mambo yaliyo ndani ya biashara Uwezo Mapungufu Fursa Tishio
  4. mujydebubyz

    Mbuzi wa kufuga wanahitajika

    Tutawasiliana ndugu, ili nikupe jibu la wapi wapo hao mbuzi
  5. mujydebubyz

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hivi haiwezekani kwa sisi wadau kwenda migodini kuona na kujifunza hawa TMAA na Migodi wanafanyaje kazi ili tuweze kufanya maamuzi kwa Informations Kamili?
  6. mujydebubyz

    Mtwara waiacha Korosho, wafuata bei nono ya Ufuta

    naomba namba za simu za wakulima wa korosho yangu ni 0765903379
  7. mujydebubyz

    Kisukari cha kushuka

    Ndugu yangu hii post ndio naiona leo. Kitaalamu sukari yako iko normal kwa kuwa binaadamu mwenye sukari ya kawaida huwa ni 3.9 mmol/L isishuke hapo hadi 7mmo/L isipande hapo. Ila ukiona unataka ipande kidogo kunywa Fanta Orange
  8. mujydebubyz

    Kuna ukweli wowote kuhusu biashara ya mtandao?

    Muanzisha mada hii, nakuomba uende kusikiliza mafunzo yao wanayotoa, jitahidi sana kuwa mtembezi wa mikutano yao, msikivu, ninakushauri sana wewe na maamuzi yako ndio viwe jawabu na si kuwahoji wadau ambao hawana majibu ya uhakika zaidi ya kukuangusha kimawazo. Biashara ya mtandao ni biashara...
  9. mujydebubyz

    ONYO: CLOUDS FM Hacha uchonganishi kwenye siasa

    kuna watu wanapenda kulalamika!
  10. mujydebubyz

    Siku ya kisukari duniani

    Kisukari kinatibika ikiwa kiko katika hatua za mwanzo kabisa, na dawa kuu ni kufuata masharti. Masharti ndio dawa kuu ya kisukari mimi ninacho na mara ya kwanza nilikuwa na 32.7 ikawa nikikijitahidi kushusha inafika 28 ila baada ya kuanza kufuata masharti ilishuka na kufika 11 hadi 2 ambapo...
  11. mujydebubyz

    Biashara ya soko la mtandao (network marketing)

    Sio Ustaarabu kabisa mtu kaweka post yake ukiona haina mashiko kaa kimya sasa unapotukana na kuwa ona lasaba hawana maana wakati ndio watakao kuosha ukifa sio utu huo. Nadhani usomi ni kuongea lugha zenye kuonesha umesoma na si matusi kama shabiki wa timu ya mtaani. mtoa mada usivunjike moyo...
  12. mujydebubyz

    Watoto wa Bata bukini wanapatikana

    Bata Bukini kutoka kwa Kitomari
  13. mujydebubyz

    Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

    Bata bukini ulioniletea hii ilikuwa ndio nimewapokea
  14. mujydebubyz

    Bata Mzinga

    Bro. Kitomari nimewapata kanga na bata mzinga muda huu hapa ubungo. Shukrani
Back
Top Bottom