Recent content by muhinda

  1. M

    Japan economic miracle: Funzo kwa Rais Magufuli juu ya hatma ya Tanzania

    Nimependa sana huo mfano wako wa kiwandani cha ngozi. Yaani demand IPO, nguvu kazi IPO, raw material tunazo sasa inaelekea tunakwama kwenye mitaji maana umeme wa being rahisi ndio huo unashughulikiwa. Kilichobaki ni serikali kudhamini wawekezaji wa ndani kupata mitaji.
  2. M

    Fahamu utajiri wa kudumu uliojificha kwenye zao la Parachichi Mkoani Njombe

    Hii sio kweli, gharama za kutunza shamba mbona hujaweka? Nijuavyo parachichi linahitaji mbolea at least Mara mbili kwa mwaka, madawa ya ukungu wadudu etc. Pia zao linaitaji kumwagilia hawa kipindi cha kiangazi, kupalilia kama utataka.matokeo chanya.
  3. M

    Mara ya mwisho kumtumia mama yako pesa lini bila kuombwa?

    Mimi Nina standing order kwenye account. Kila mwisho wa mwezi automatically hela inatumwa kwenye account yake. Yani iyo hela nilishaitoa kwenye mahesabu yangu. Mwenyewe anasemaga mshahara wake, na anafurahi sana kwakweli. Na Mara ingine pia huwa namfanyia shopping ya vyakula unga mchele mafuta...
  4. M

    Mara ya mwisho kumtumia mama yako pesa lini bila kuombwa?

    Mimi Nina standing order kwenye account. Kila mwisho wa mwezi automatically hela inatumwa kwenye account yake. Yani iyo hela nilishaitoa kwenye mahesabu yangu. Mwenyewe anasemaga mshahara wake, na anafurahi sana kwakweli. Na Mara my engine pia huwa namfanyia shopping ya vyakula unga mchele...
  5. M

  6. M

    Uzinduzi Mradi wa Umeme, mto Rufiji: Rais Magufuli aagiza sehemu ya Selous kuwa Hifadhi ya Taifa. Fedha zilizorudishwa kutoka Kenya kujenga barabara

    Bwawa LA kariba, Zambezi in Zambia. FYI hili eneo LA Zambia ndio kama Serengeti ya Tz
  7. M

  8. M

    Mradi gani wa kiuchumi unaweza kuanzisha kwa kutumia fedha za mafao kiasi cha Tshs 90,000,000/-?

    Mama yangu alistaafu, kiinua mgongo akatumia kujenga nyumba za kupangisha 3. Nyumba ni 2 bedrooms kitchen na sebule. Bahati kiwanja alkuwa nacho tayari na eneo ni zuri karibu na barabara. Hela iliyobaki akanunua gari ya kutembelea, nyingine akaanzisha mradi was kuku wa mayai (alikuwa na uzoefu)...
  9. M

    Carol Ndosi: Barua kwa Rais wangu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli

    Welcome back brother hahaha
  10. M

    Masaki Mpya

    Nilusikia waligharamia wenyewe
  11. M

    Masaki Mpya

    Nakubaliana na wewe maeneo mengi mazuri Dar miundo mbinu inatuangusha sana.
  12. M

    Masaki Mpya

    Kwakweli panavutia sana. Especially serikali ikiweka na miundo mbinu kwenye mitaa patavutia zaidi. Kinachomis maeneo hayo ni water taxis kama zile za Venice
  13. M

    Wazungu wa Namibia wageuza neno 'shithole country' kuwa fursa!

    hivi why Wajerumani hawakubaki hapa Bongo? maana kama sikosei ni TZ na Namibia ndio zilitawaliwa na Wajerumani ktk bara la shithole. was it na Cameroon???
  14. M

    Fursa ya Kilimo cha Korosho Manispaa ya Lindi

    Duh, huu uzi sijui ulinipita vipi. kwakweli haya ndio mambo tunataka kusikia. kwakweli serikali ya Lindi kama kweli watafanikiwa katika hili ntawapa hongera sana. yaani Tz tukiamua kulima kwa kisasa na akili kubwa hakika tutatoka. Infact inabidi tufanye in such a way wanunuzi wa dunia...
  15. M

    Kamati ya Umoja wa Mataifa kutetea Palestine yatua Tanzania

    Acha uoga, Trump atamaliza mda wake na sera zake ataondoka nazo. Jiulize akiondoka, hao waKenya unaowasifia watabaki na nini?? (aibu)
Back
Top Bottom