Habari zenu wakuu,
Hope ni wazima otherwise Allah awafanyie wepesi.
Lengo la uzi huu ni kuomba kazi, kibarua au shughuli yoyote halali itayoniingizia kipato.
Nina umri wa miaka 27, nina elimu ya Diploma ya Information Technology ila sijabahatika kupata hata kazi ya kujitolea (mimi ni kati ya...
Hii story imeletwa kwa ufupi sana humu, ila ukweli ni kuna askari watatu wamejeruhiwa mmoja kavunja bega, inaonesha kulikuwa na mapambano alafu pia dereva mwenyewe wa ili gari ndo akieendesha kwa muda huo kwaiyo inaonesha hata uyo dereva labda alitekwa au vipi, na kiukweli kabisa walio karibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.