Recent content by Msechu

  1. M

    Loliondo, OBC, Dowans: The disturbing connection and secrets

    Nashindwa kuelewa TZ tunaenda wapi jana nilibahatika kukaa na mdau mmoja mkubwa ambaye amefika ktk eneo hilo anasema ukifika kama unatumia mitandao ya Tigo na Vodacom network haipatikani kabisa na ukiwa na zain unapokea sms inayosema welcome to United Arab Emirates (UAE) sasa tukawa tunaulizana...
  2. M

    Ufisadi ndani ya Mlimani City Project

    Hii ishu ya mlimani city ni ya ukweli kabisa wabostwana hao wamepewa 50 years ndio yawe ya chuo na ujengaji wake kwa sisi wa wataalam wa civil miaka 50 hayawezi kufika lazima yawe magofu. Sasa inabidi tuwe macho wadanganyika na huu mradi
Back
Top Bottom