Recent content by MrNSSF

  1. MrNSSF

    PCCB: NSSF is the least corrupt institution in Tanzania

    men lie women lie numbers dont lie
  2. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    Kama una malalamiko contacts za wawakilishi wa wafanyakazi zipo wazi na wanajulikana. Je ulishawasilisha malalamiko kwa mwakilishi wenu na alikujibu vipi? Unaweza ku attach barua ya majibu ya maswali yako humu ili tuisome?
  3. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    Unaweza kuleta ushahidi ku support hizi tuhuma? Pili, hakuna malalamiko yoyote yale ambayo hayashughulikiwi je uliwasiilisha malalamiko na ushahidi wapi? na ulipewa stakabadhi na nani? Je what about makampuni kama CRJE, CITIC, ESTIM na mengineyo ambayo yanapata contracts PSPF?
  4. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    Uzuri wafanyakazi mna wawakilishi wenu kwenye board ya NSSF na wao wanawakilisha maslahi yenu Tazama maelezo yangu kwenye post ya kwanza.
  5. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    https://www.nssf.or.tz/index.php?option=com_docman&Itemid=221
  6. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    https://www.nssf.or.tz/index.php?option=com_docman&Itemid=221
  7. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    Uzuri NSSF haiendeshwi kienyeji Ina wawakilishi wa wanachama na kila linalofanyika tayari lishapata baraka za hao wawakilishi wa wanachama anyway Daraja mwendo mdundo.
  8. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    Waungwana: Unlike mashirika mengine ya Umma na ya binafsi, sisi huku NSSF huwa hatuna makuu. Team yetu inaitwa TEAM RESULTS ORIENTED. Tumesema Tunajenga Daraja la Kigamboni (wana kigamboni wanaliita la Daraja La Dau) ushahidi huu hapa chini: Tumesema kuwa Kigamboni tunajenga sattelite...
Back
Top Bottom