Usifafanishe uislamu Wa zamani na sasa kwani Wa sasa bila siasa utoboi na ni rahisi serekali kuwaonea hiyvo watu mfano Wa ponda wapo kwa ajili ya kubalazi usawa
Kazi IPO wabunge ,mabalozi,wakuu Wa mkoa,mawaziri,msemaji Wa serekali,spika,wanachama maslai kwa magufuli,wote wanamnanga lisu ila kilio kikizidi maiti anakaribia kwenda zikwa
Kazi IPO wabunge ,mabalozi,wakuu Wa mkoa,mawaziri,msemaji Wa serekali,spika,wanachama maslai kwa magufuli,wote wanamnanga lisu ila kilio kikizidi maiti anakaribia kwenda zikwa
Ww jiulize maalim seif wa Zanzibar anavyowasumbua CCM hivi wanashindwa kumuua wanaogopa kwani maalim anajulikana kimataifa ukimua lazima kifo chake kichunguzwe hata shinikizo
Siasa za Tanzania zinapokwenda bila kujulikana kimataifa utapotezwa kwa kuuwa na kukoswa kwa lisu uenda ni mpango wa mungu ili maovu yao yajulikane kimataifa waogope
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.