Umesema ajali ya moto, ni muhimu hiyo ajali ikathibitishwa nini chanzo chake, pakipatikana uthibitisho huo kutoka mamlaka husika ambayo ni TANESCO ndipo unaweza kupata ushauri wa kisheria kwa urahisi.
"The Fear of unknown"!. Si sawa kusema kauli hiyo, mpaka serikali inaamua kujiondoa au kukataa kuwa na visa ya pamoja, maana yake ilizingatia faida na hasara za kitendo hicho.
Kusudi hiyo doctrine of estoppel ifanye kazi inabidi tujue kama je, hicho chama baada ya uteuzi wa hao viongozi wa muda msajili wa vyama alikuwa informed kwa maandishi?
Kama hakuwa informed hiyo doctrine hapo haiwezi kufanya kazi, maana ingeweza kufanyakazi kwa huyo M/kiti kuwa denied nafasi...
Mahakama si jengo, Mahakama ni "Jurisdiction", hakuna uhusiano wowote kati ya jengo na Mahakama, inawezekana kabisa kesi ikasikilizwa chini ya mti na uamuzi ukafikiwa.
Kulitikisa Bunge !, sawa ni maneno pengine ya kutia chumvi na mvuto kwa mleta mada, ni jambo jema kama atakuja na hoja za kujenga nchi kwa kuzingatia masilahi mapana na siyo kuhanikizwa na mihemko ya kisiasa. Taaluma yake ni muhimu sana katika chombo chetu hiki cha kutunga sheria, lakini kwa...
Walipe stahiki za Serikali vijana wetu wasome mpaka vyuo vikuu bure, Vyumba vya madarasa viboreshwe, Maabara ziboreshwe, huduma za Afya zipatikane kwa wepesi, pia motisha kwa watumishi wa Umma ipatikane kusudi wapate "kick" ya morali wa kazi.
Lakini pia ili tabia hiyo isijirudie, ni vizuri...
Umeandika na kuchambua bila shaka kwa uzoefu wako juu ya muundo wa Wizara, hata hivyo umesema tu haiwezekani Katibu Mkuu asiwe na Mkurugenzi mathalani wa mambo ya uvuvi ambaye atakuwa pia mtaalam katika mambo ya uvuvi, jambo moja mimi sijakuelewa, ni kwa nini haiwezekani? Kwani kama Katibu Mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.