Napenda kufahamu ni wapi hapa dar nitapata miche ya mipapai ya kisasa,ile inayochukua miezi 6 pia napenda kujua changamoto kwenye hiki kilimo cha mapapai
sasa mbona mnanichanganya je hiyo VW Bora ni mbovu,na je gari za VW ipi ni nzuri kwa matumizi ya huku kwetu Tanzania,pia hiyo Audi hapa Tanzania spare ziko
kwa yoyote ambae amewahi kuitumia hii gari,naomba anijulishe ubora wake,ulaji wa mafuta pia je mafundi wa Tanzania wanaweza kuzitengeneza hizi gari nimetokea kuzipenda sana,kuhusu spare nimefanya utafiti ughaibuni zinapatikana kwa bei nafuu.
Naomba mawazo yenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.