Recent content by Mkombozi Wetu

  1. M

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    Poleni sana kwa msiba Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake na lihimidiwe.
  2. M

    Nchimbi ameanza kwa kuwadanganya uongo mkubwa CCM!

    Ndio maana mimi nilisema kuwa waliompa hiko cheo, hawajampa kwa kumpenda, bali ni mtego kwake ili ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe. Bahati mbaya kaanza mapema kabisa kujikaanga.
  3. M

    Nchimbi ameanza kwa kuwadanganya uongo mkubwa CCM!

    Hayo nayo ni maajabu!!!!!!
  4. M

    Dkt. Nchimbi: Mimi ni mtu wa misimamo, Utamaduni wa CCM unajulikana Rais anahudumu awamu 2 nawaambieni Mapema kabisa!

    Kulikuwa na uharaka gani kutoa tamko kama hilo mapema hivyo, hiyo sio dalili njema kwake ya namna ya kuanza kazi......
  5. M

    Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

    Namshauri akimbize hicho kijiti alichopewa kwa hadhari kubwa. Atambue kuwa huo unaweza kuwa mtego kwake wa kummaliza kisiasa. Be care
  6. M

    Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

    Hongera zake ila awe makini, siasa zimebadilika, nyakati zimebadilika. Hili sio 2005 wala 2010.
  7. M

    Askofu Shoo: Maoni ya wananchi yatiliwe maanani, yaheshimiwe na yatekelezwe

    Utawala wa demokrasia unapaswa kuzingatiwa na kuheshimiwa, bila kujali ni kanisani, msikitini, serikalini au chama cha siasa. Sote tuheshimu demokrasia.
  8. M

    TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

    TEC Ni chombo kinachohusika na masuala yote: 1. Kidini - kiroho 2. Kisiasa- kimwili Hivyo basi, ni chombo cha kidini na kisiasa. Ndio maana wanaongoza kanisa na serikali kwa pamoja.
  9. M

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Tuwaombeeni ndugu zetu Waisrail na Wapalestina wapatane waishi kwa amani kama majirani
  10. M

    Katoliki na KKKT yawakataa Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi, sasa inasubiriwa BAKWATA

    Sio jambo jema wakurugenzi ambao ni sehemu ya serikali kusimamia uchaguzi kati ya vyama vya upinzani na ccm- chama tawala(serikali), halafu msimamizi- mkurugenzi wa Halmashauri aliyeteuliwa na Rais wa Ccm- na anayelipwa na serikali ya Ccm-. Hapo ni sawa sawa kwamba mko na mechi kati ya timu A...
  11. M

    Siku muungano ukivunjika Tanganyika itapata hasara kubwa sana

    Kabla ya muungano Mpaka wa Tanganyika ulikuwa wapi huko baharini? Na mpaka wa Zanzibar nao ulikuwaga wapi?
  12. M

    Chawa walikuwepo tangu Awamu ya Kwanza mfano Waswahili wa Kariakoo na Magomeni walikuwa Chawa wa Nyerere wakiongozwa na Kawawa!

    -Chawa ni uchafu unaotakiwa kutupwa dastbin. -Chawa ni wadudu ambao hukaa kwenye mavazi yasiyofuliwa kwa muda mrefu -Chawa hukaa kwenye miili isiyooga kwa muda mrefu -Chawa hukaa kwenye nywele zisizosafishwa na kutunzwa kwa muda mrefu -Chawa hunyonya damu ya mtu bila kufanya kazi Chawa...
Back
Top Bottom