Mbona kama hata mwezi haujaisha tangu kufanyika kwa uchaguzi ambapo tuliambiwa huko chako kuna mtu kajijengea airport yake na mama yake, ameua watu wa kwao na kuwatumbukiza majini, ni dikiteta, ni mshamba, hajui kuandika hata sentensi moja ya kiingereza iliyo sahihi, elimu yake ina mashaka...
Baada ya miaka 5 Final benefits kwa wabunge wa viti maalumu TU wa CCM:
94×200,000,00=18,800,000,000!! Kwa hesabu za chini. Kama siyo nchi nzima inaonekana tuna mapungufu ya kufikiri, sijui ni nini. Ni Mungu tu atusamehe.
No, No, No! This is tooooo muuch. Mimi nilijua vitu maalumu ni kama vile vya walemavu. Hayo makundi mengine maalumu ni yapi? Yaani wote hao wanakwenda Bungeni na kukaa kula pesa za walipa kodi! Kwa orodha hii kweli hiyo SGR, JK waterfall project, vitaisha lini? Yaani, kama kuna sababu ya watu...
Seriously, huyu mtu Lisu amecheza Game. Akina Mbowe sasa eleweni presidential bid ya Lisu kama mwakilishi wa CDM haijawahi kuwa in the interest of Chadema. Chama kulikuwa no combo tu cha kukamilisha mlengo binafsi ya mgombea.
Listen, this guy kabla ya kurudi Tanzania, alihakikisha Ana wakili...
Tunakushangaa hujakuwepo kwenye mkutano wa viongozi wa vyama kutoa tamko la kuhamasisha maandamano nchi nzima kama mgombea rais. Au mwenzetu unaandama kivyako!
Kuanzia sasa Lisu, Zitto, Mbowe hawana ajira ya kiserikali for the next 5 years. Lakini wanawambia watu waache ajira zap ili wakaandamane. Maandamano bila kibali ni uvunjifu wa sheria. Nani atajitokeza kwenda kuandamana na kuweka ajira matatani 0?? Tusubiri hiyo Jumatatu tuone.
Ebu rudia huo usemi wa ".... za kisayansi ...." then jitazame kwenye kioo. Usishangae unajicheka wenyewe. Imagine hiyo misululu ya boda boda barabarani na bendera za CDM kuwa na hadhi ya kisayansi. Kama siyo akili ya popo sijui tukuite vipi.
Haya maandiko yooote kuhusu hila za Marekani na Tanzania kutosha mara hiki mara kile, jitahidini basi kufuatilia mihemuko hii ya kisiasa ya USA na nchi nyingine. Ndo hayo hayo ya marekani na Rwanda wakati P. Kagame alipo badili katiba, yale yale ya US na Venezuela ambayo yamedumu hadi leo, yale...
Is that all you have kuhusu faida/hasara ya ujenzi wa daraja ya hilo?? Una akili fupi kwamba unafanya association ya ujenzi wa daraja hilo na uchungaji wa mbuzi na ng'ombe wa Magufuli? Kimsingi umebubikwa na party politics kiasi cha kubeza umuhimu wa daraja husika. Sisi wengine tusio na mihemuko...
Bw. Membe, mategemeo yako yooote ya ndoto zako za kuwa Rais wa Tanzania yalitegemea nguvu ya CCM. Ndo maana uling'ang'ania jina lako lipitishwe na kuomba rufaa za maamuzi ta NEC. Hakuna hata mwendawazimu asiyelijua hilo, kwa sababu personally hilo wewe pia unalijua. Sasa, NEC walikutosa na huna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.