Recent content by Mkami Lum

  1. Mkami Lum

    Polisi watawanya waombolezaji kwa Baba mzazi wa Alphonce Mawazo, familia yalaani kitendo hicho

    we ku..ma nini..... unadhani na sisi wangese kama nyie l?
  2. Mkami Lum

    Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

    duh... umenchekesha.....
  3. Mkami Lum

    Mke mwema anapatikana wapi?

    Msubiri atakuja mwenyewe....
  4. Mkami Lum

    Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

    utaifa kwako ni kigezo cha kukupata? kama unampenda kwakua ni MKENYA, go on, ila kama upendo wa kawaida temana nae... tehteh....ume export na ww.!!!
  5. Mkami Lum

    Kwanini ni vigumu sana mwanaume kusema I am Sorry?

    wengi wetu tumeathkriwa na "UBABE"
  6. Mkami Lum

    Mke raha jamani

    Hongera
  7. Mkami Lum

    Jamani hii sasa imekuwa too much, inanikera sana

    Kazi ipo, kwa staili hii ndio maana CCM wameshinda Uchaguzi..
  8. Mkami Lum

    Anataka kusoma meseji zangu

    Usimjibu kitu, baki na aliyekutumia sms... usimpotezee muda mtoto wa watu... Acha umalaya....
  9. Mkami Lum

    Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?

    kama ni kweli unafanya iliyoyasema hongera.... keep it up. BUT try to talk with him may be he has something he need but he don't get from you.. Akiwa na furaha ndio umuulize, angalia mazingira, ukiona kafurahi nawe ongea nae kimahaba naye atakuambia hitaji lake.. PIA nina wasiwasi na...
  10. Mkami Lum

    Mdee na Migiro wanasiasa hawa wanaweza pimana ubavu?

    Acha kumlinganisha MDEE na vitu vya kijinga!!!
  11. Mkami Lum

    Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

    we maku kweli.... kwani mwizi wa kura alikua pekeyake? CCM wote wezi.... Kamkatie kiu..no Mwigulu wako siasa zshakushinda
Back
Top Bottom