Recent content by Miss Parliament

  1. Miss Parliament

    Zitto umewadhalilisha Wabunge wa Viti Maalum CDM; Waombe Radhi

    mwache aendelee na jeuri yake.sijui anajiamini nini.si pengine walikuja kuunganishwa na jack zoka
  2. Miss Parliament

    Zitto umewadhalilisha Wabunge wa Viti Maalum CDM; Waombe Radhi

    viti maalumu vinawapa shida sana.mwaka jana mlitaka kuchomeka watu wenu baadae akaja mwanamtandao wenu dr.kitila mkumbo akajaribu lakini bado maslahi yenu ya kimtandao mlizingatia.baadhi yenu mna mahawara huko,tumekaa kimya tu tunajua.Leo hii unakuja na hoja za kiujanja janja za kufuta viti...
  3. Miss Parliament

    Zitto umewadhalilisha Wabunge wa Viti Maalum CDM; Waombe Radhi

    Safi sana kwa hili hata mimi asubuhi nilitangaza azma ya kulipeleka hili kamati kuu kwa kudhalilisha wabunge wa viti maalumu kwenye mitandao.hii ni dharau iliyopitiliza.nilishasema hawa wanawachukia kwa sababu walitaka kuchomeka watu wao.kinachoshangaza zaidi kuna tetesi kuwa wana mahawara zao...
  4. Miss Parliament

    Kabwe, Kafulila, Kitila, Ben ni Mtandao wa sasa kama wa EL, JK, AC, RA 1995-2005??

    wale wanajf wanaopenda kulaumu wengine mtapata ahueni,kuna post mojawapo naitafuta nitaileta hapa
  5. Miss Parliament

    Kabwe, Kafulila, Kitila, Ben ni Mtandao wa sasa kama wa EL, JK, AC, RA 1995-2005??

    Haya ni maneno ya ben saanane unaweza kumsoma hapo chini ni mtu wa aina gani.ni mtu anayependa mgogoro na mivutano.hii nimeibua kwenye mojawapo ya post zake humu...watanikoma mwaka huu alikuwa anamjibu Nguruvi3Nguruvi3, Asante sana,maneno yako mazito mkuu.I feel a great sense of optimism in...
  6. Miss Parliament

    Kabwe, Kafulila, Kitila, Ben ni Mtandao wa sasa kama wa EL, JK, AC, RA 1995-2005??

    Wasaliti wanajulikana acheni kupakazia wengine.Ben amehusishwa na tuhuma za kuvuruga uchaguzi wa UVCCM,inasemekana anampa nguvu na kumjengea mtandao mgombea mmoja anaiotwa Thabiti jecha kombo,na gharib bilal na dada mmoja ambaye jina lake nimelisahau.wote hawa ni wagombea wa uvccm.sasa huko...
  7. Miss Parliament

    Kabwe, Kafulila, Kitila, Ben ni Mtandao wa sasa kama wa EL, JK, AC, RA 1995-2005??

    Ben, ilishasemekana wewe ni bingwa wa propaganda.acha spinning hapa.Sipati picha ungeingia kamati kuu,si ungewavuraga wajumbe kwa hoja zako taat ili kuimarisha mtandao wenu.ni siuala la muda tu mlishamtanguliza kafulila huko awaandalie makao.Ubunge kupitia chadema ng'o.naskia unafanya jitihada...
  8. Miss Parliament

    Kabwe, Kafulila, Kitila, Ben ni Mtandao wa sasa kama wa EL, JK, AC, RA 1995-2005??

    By Chief Mkwawa Ila mheshimiwa Ben,zitto, hata mimi nimeanza kuwa na mashaka makubwa na kambi yenu. Nahisi ubaya upo na unakuja haraka. Hamuwezi kujenga nguvu ndani ya vyama viwili NCCR mageuzi na CDM. nahisi harufu mbaya sana. Huwa siandiki bila utafiti hasa pale zinapokuwa tuhuma kubwa kama...
  9. Miss Parliament

    Kabwe, Kafulila, Kitila, Ben ni Mtandao wa sasa kama wa EL, JK, AC, RA 1995-2005??

    Kwa taarifa tulizo nazo hili kundi linafanya kila jitihada kuhakikisha mwenyekiti wa vijana yupo upande wao,kwanza wamehakikisha wanampa madesa makamu mwenyekiti Juliana Shonza ili Heche mkurya aone aibu kufunikwa akimbilie mtandao wao kwa usalama
  10. Miss Parliament

    Zitto: Sijengwi na Kikwete, najijenga mwenyewe

    Nani asiyekujua?huo ufalme mnaoutaka utawatokea puani tu.Mbowe na slaa wamefanya makubwa sana kwenye hiki chama ninyi mnapita tu barabara yenu inaelekea NCCR au CCM hilo tunajua.Na jinsi siku hizi tena mlivyoongezewa damu changa.Kuna mwingine tumeshamshauri asiwahi kugombea nafasi yoyote ndani...
  11. Miss Parliament

    Zitto: Sijengwi na Kikwete, najijenga mwenyewe

    wewe ni mtu wa ajabu sana.chadema haijakomaa kivipi?hajakomaa zitto peke yake na usipende kulazimisha mambo.acha ushabiki
  12. Miss Parliament

    Zitto: Sijengwi na Kikwete, najijenga mwenyewe

    Ataachaje tena kudharau viti maalum?si alitaka kuweka wa kwake akashtukiwa? Diplomasia atatumiaje?si anaamini yeye ndiye mbunge bora kuliko wote?
  13. Miss Parliament

    Zitto: Sijengwi na Kikwete, najijenga mwenyewe

    Kitila +Zitto+Ben Saanane +mtandao wao= CHADEMA kaburini Kitila:ana kashfa ya kuchakachua viti malumu Zitto:Ana kashfa ya kukihujumu chama chake mara nyingi Ben Saanane:Huyu ana kashfa ya kutuhumiwa kuwa usalama na kuvuruga uchaguzi wa BAVICHA kwa kukiuka kanuni Wote hao wawili ni wasomi wa...
  14. Miss Parliament

    Zitto: Sijengwi na Kikwete, najijenga mwenyewe

    Ningeshangaa kama usingekuja kumtetea zitto,Bern Saanane alikuja akabadilisha upepo kwanza kwa misumari ya moto baadae nikamuona zitto,hatimaye umekuja.hoja zenu mwelekeo wenu ni huo huo.mtandao wenu mmejipanga sana lakini mtaumia tumieni usomi wenu na uwezo kukisaidia chama,acheni upuuzi na...
Back
Top Bottom