Recent content by MINAZI

  1. M

    Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

    Bunge la leo limekosa utu na haki ya kila mtanzania,kwani kila mbunge ndani ya bunge anahaki sawa na wengine,inakuwaje spika anaombwa mwongozo hataki,eti kwasababu ni cdm ila angekuwa wa cuf au ccm angeluhusiwa,tufike mahali tuwe na ubinadamu ndani ya mioyo yetu hata kama hatumuogopi Mungu.
  2. M

    Nimeamua kuhama rasmi CHADEMA nimehamia NCCR MAGEUZI

    Kaka mimi binafsi nakupongeza sana kwa uamuzi wako mzuri wa kuhama chama makini,chenye sera safi na uzalendo kwa wananchi.ila mimi ninamaswali mengi ambayo yanifanya nione kwamba busara na hekima imepotea kwako.kwa sababu mtu yeyote aliye makini na mwenye huruma na nchi yake awe ni mchungaji au...
  3. M

    Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Hali mbaya inatisha mzee,hawa kina ltm watatumaliza wanaharakati.
  4. M

    Vodacom acheni Upumbavu!

    kAKA SIKUZOTE BEPARI HANA HURUMA NA WEWE MASKINI,ANATAKA AKUNYONYE HATA ILE SENTI YAKO YA MWISHYO ULIYONAYO UTAFIKILI KANAKWAMBA HAWAONIMAISHA NI MAGUMU KWA WATANZANIA.NAKUSHAULI HAMA HUO MTANDAO.
  5. M

    Angalia Hali tete UDOM leo!

    kAMA NDIO HALI HII BASI NASHAULI SOMO LA UJASILIAMALI UFUNDISHWE MASHULENI KAMA SOMO LA LAZIMA KAMA ILIVYO KWA COMMUNICATION SKIILS NA DEVELOPMENT STUDIES.
  6. M

    Balali yuko HAI - He is not dead

    kAKA HILI LA BALALI WEWE,ACHA TU NI KAMA UNATAKA KUGUSA KAGODA.NAKUSHAULI ACHANA NALO KWANI LIMEKWISHA GHARIMU MAISHA YA WATU WENGI MPAKA SASA.
  7. M

    TBC1 jamani inanitesa!

    Mkubwa nakushauri achana na TBC1,sasa hivi imekuwa sio channel tena ya wanyonge na walipa kodi wazalendo wa Tanzania.Imekuwa ikitoa habari zenye manufaa binafsi hili limetokana na kutokuwepo Msomi na Mkweli wa habari aliyefanya kazi kwa muda mrefu BBC si mwingine ni TIDO MUHANDO.Ni mara mia...
  8. M

    Afya za wana Appolo zinaendeleaje ?

    Kaka hii hali ya sasa ya nchi hii inatisha sana,ni mkono wa Mungu tu ndio unaotupigania.Naamini wana Appolo Mungu atawaponya tu,kwani mwenye haki ataishi kwa haki yake na dhalimu ataishi kwa udhalimu wake.Tupo pamoja katika maombi kwa ajili ya wanaappolo.
Back
Top Bottom