Recent content by Micho

  1. M

    Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Km hukujua kabla hamjaona usijue milele….wewe unaoa tu bila kuchunguza…
  2. M

    Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Tulia kwanza mpaka hasira ziishe kabisa….then utapata majawabu..kikubwa afya ya mtoto… Simu ya mwanamke usishike au mpenzi wako yoyote..ignorance is bliss…hakuna mtu perfect duniani…tamaa zipo na haziishi…..mara nyingi we marry for the wrong reasons sasa unayoyapata ndio matokeo yake…
  3. M

    Rais Samia avunja Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, ateua Mwenyekiti mpya

    Tunachezewa sarakasi tu…ukweli alishatuambia JPM sasa hv tunaamini sarakasi hizi sijui tumelogwa na nani.. watanzania sisi ni wapole mno…tushafanywa kichwa cha mwendawazimu…
  4. M

    Mwanaume mwenye akili afungi ndoa na mwenye akili zaidi haoi!

    Hao uliotaja wote mbona wana ndoa
  5. M

    Boris Johnson: Wakati mwingine Kwenye majanga kama ya Covid-19 ni Heri kutumia common sense

    Utaumiza kichwa mkuu… JPM was ahead of time…hizi nyumbu ziache km zilivyo hatuna pakuwapeleka ndio ndugu zetu wapo ili changamoto za maendeleo ziendelee kutusulubu
  6. M

    Tanesco mlichelewa wapi kuwa na msemaji mwenye uelewa wa mnachokifanya?

    Maji yote haya Mtera hakujaa bado?!
  7. M

    Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

    Weka poll…tutajua mpumbavu nani
  8. M

    Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

    Unachekesha kweli….mtera alijenga boss wako?!
  9. M

    Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

    Weka poll mtaani yenye picha ya mwamba na mwengine unaemtaka uone nani atapata tiki nyingi…. Ajira na mbwembwe zingine baki nazo wewe…poll itaongea
  10. M

    Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

    Chawa Pro Max…. Huku mtaani jina Magufuli linatajwa kila sekunde…litaje sasa jina la boss wako usikie hayo majibu yake... Miaka mitano ya JPM bila mgao wa umeme….
  11. M

    Kiukweli sijamuona Komredi Kinana kwenye Picha ya Pamoja ya Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ikulu leo!

    Mkuu muendelee hivyo hivyo kutofautiana..sisi ndio furaha yetu…
Back
Top Bottom