Recent content by Mhutu

  1. M

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Kwanza, si kweli kwamba Lema aliongoza ubunge kwenye kata 8 kati ya 19! - ukweli ni kwamba CHADEMA ilishinda udiwani kwenye kata 8 kati ya 19 lakini kura za ubunge Lema aliongoza kwenye kata 12 kati ya 19, ya kwanza ikiwa ni Kimandolu, kisha Elerai halafu Sombetini [ambako diwani alitoka CCM...
  2. M

    Mimi kupigana na Msigwa ni kutafuta kesi ya mauaji. sijashkana naye shati na sitaraji

    HAYAWANI-MWITU Lameck Madelu: siupatii picha mwisho wako utakavyokuwa!
  3. M

    CUF yaomba kuongoza kambi rasmi ya upinzani bungeni

    waasisi wa siasa za maandamano Tanzania mnapozilaani ni ili nani azienzi? - ipi kati ya CUF & CHADEMA imepoteza roho nyingi za Watanzania kwenye maandamano? - au wenzetu nyinyi wageni nchi hii?
  4. M

    Mwigulu toka Bungeni: CHADEMA ndio waliolipua bomu mkutanoni kwao

    lazima ya Mwigulu ikuingie kwa kuwa akili zenu zinalingana! - kwa hivyo lile tukio la Polisi wa Afrika Kusini kumburuza mtu kwa gari lililofanya hadi leo wahusika hawapo kazini walilipanga wenyewe?
  5. M

    Mgombea ubunge Arumeru mashariki ametoboa sikio

    Mimi ni mmeru na napenda nikuhakikishie kuwa kwetu wanaume hawatoboi masikio; halafu, hata kwa hao wamasai unaosema, utoboaji ni tofauti na ule wa mwanamke anayetoboa ili afae hereni kama alivyotoboa mgombea huyu. Ni kashfa isiyokwepeka!
  6. M

    Kauli nzito aliyoitoa Joshua Nassari yawagusa wazazi walala hoi wa tanzania

    Ndiyo! Madawati ya sekondari ni tofauti na ya shule ya msingi kimuundo.
  7. M

    CUF kutumia sh 500 milioni kwa mapokezi ya Lipumba

    chanzo kimebainishwa; hebu isome tena thread! pia 'viashiria' vya gharama kama mabango n.k
  8. M

    Kauli inayomgharimu Hadji Mponda dhidi ya Madaktari

    huwezi kumpa rais masharti?! yupi mwajiriwa wa mwenzie kati ya rais na wananchi? usikurupuke mkuu!
  9. M

    Maandamano makubwa jijini Arusha dhidi ya serikali

    hebu jenga picha akilini, ya watu 5000 wakiwa barabarani!
  10. M

    Sababu za wameru kumkataa Siyoi Sumari

    Usipungukiwe umakini hivyo mkuu! Kwa mfano, Lipumba aliposhinda kuwa mgombea urais ndani ya CUF, ni wapiga kura wa Tanzania waliompitisha kwa kishindo??? Tofautisha chama na taifa!
  11. M

    Kamanda Lema ndani ya Arumeru

    haswaaa; umenena mkuu!
  12. M

    Misamiati maarufu vyuo vikuu

    asante ila neno msamiati halina wingi; hatuna neno "misamiati"
  13. M

    Kesi ya kupinga matokeo Arusha mjini inaendelea

    alimaliza form 4 1974 na alijiunga na jeshi 1973 ?!¿!?
  14. M

    Shahidi: Lema alimkashifu Dk. Buriani jukwaani

    hebu balehe kimawazo wewe! hizo ni tuhuma za mahakamani na kesi bado haijatolewa hukumu; hukumu ndio itabainisha ukweli na uwongo!
Back
Top Bottom