Recent content by mhebho

  1. mhebho

    Dotto Bulendu: Tundu Lissu anahitaji majibu ya maswali yake siyo kebehi

    Magari yalikamatwa mtambuzi hakuonenakana. Maana katoroshwa na yeye kama mgonjwa. Na magari ma4 meupe yalikamatiwa dodoma. Kapigwa kushoto kaugulia mguu wa kulia. Yajayo yanafurahisha
  2. mhebho

    Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

    Kikubwa ni kuufunga ubalozi wa marekani tanzania. Hakuna njia nyingine.nimeona hata watu wakijinasibu kuwa 2019 hawatajali police 🚔 wala mtu awae yote. Sasa tuwe makini na marekani. Inawezekana ime imesha watuma hao wanaotaka kutumia ubabe bila kuogopa police. Tanzania 🇹🇿 niyetu. Wapo watu...
  3. mhebho

    Vyama vya wafanyakazi vimekosa tija kwa sababu ya kuongozwa na makada wa CCM

    Bi kijo simba kamuachia anna henga. Lissu kamuachia fatma. Hawa ni kada ipi? Ccm wameongoza nchii kuanzia miaka ipi? Watakosa sekta ipi kuwamo? Ili mambo yaende vyema ni makada wa chama kipi ndo wanatakiwa kuongoza? Hizi mimi kwa mtazamo wangu naona post hii ametoa mtu anaeishi kwa...
  4. mhebho

    Vyama vya wafanyakazi vimekosa tija kwa sababu ya kuongozwa na makada wa CCM

    Naomba kujua. TLS NA THRC nacho kinaongozwa na kada zipi? Bi simba kijo kamuachia anna henga .tunaomba ufafanuzi pia. Mlitaka waongoze wakina nani ili kuwa na uzuri? Ccm imeanza kuongoza nchi miaka ipi hadi ikose kada kila sekta?
  5. mhebho

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Mtata wa ma chadema utauona.kizuli mtu akiwa cdm ndo kitanoga.ila akitika tu kwao huona ni pumba.wao ndo wako sahihi kwa kila nyanja.uozo huwezi kuona bila mtu kutoka upande frani na kuelekea upande wa pili.hongera zitto kbwe tumegee uozo huo wa mtei
  6. mhebho

    Zitto Kabwe atinga Polisi, aandikisha Statement kufuatia kutishiwa maisha!

    Lipo na km halipo bac laja.unatakiwa upigane na adui akiwa inje ya nyumba akiwa ndani huwezi jua kajificha wapi ....hongera zitto kwa kuwaangaza .imana ikufashe chane
  7. mhebho

    Picha: Hii ndiyo tv inayouzwa milioni 75 za kitanzania apo mlimani city,dar es sa:laam

    Inamiezi mingi sana hapo naiona .inamaana hakuna wateja?
  8. mhebho

    Kapuya na pesa za ufisadi wa kampuni ya kijasusi ya CATIC International

    Mimi naombeni kujuzwa jamani! !! Uelewa wangu mfupi .ukimbaka mwanamke najua kuwa.umekutana nae frm nowhere ukamvamia ukala mzigo huo ndo naojua kuwa ni ubakaji.ukiwa na msichana kuanzia mwezi au mwaka nk.hauitwi ubakaji.unaitwa kushindwana.ndo huja mvurugano.siku hizi magonjwa mengi sana.ukiwa...
Back
Top Bottom