Recent content by mehhi

  1. M

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    hii imekaa vzuri zaidi, mawazairi wengine wanakuwa mizigo, makatibu wakuu ndo kila kitu bhana
  2. M

    TRA yakusanya tsh. 5bn kodi ya makontena 329, wafanyakazi 37 wasimamishwa kazi mchana huu

    Bandari na TRA watangaza upya nafasi za kazi, waliopo wote wafukuzwe kabisa mana idara zote ni uozo mtupu
  3. M

    Nafikaje Mbulu Manyara

    Dar to Babati kupitia Singida utafika saa kumi nambili jioni, afu utalala babati asubuhi utapanda landcruser mpk mbulu binafc naona ni karibu zaid,
  4. M

    Waraka wa kufuta ada elimu ya sekondari (1-4) na michango yote elimu ya msingi

    Umeambiwa shule zote za serikali elimu ni bure hajalishi
  5. M

    Nani kalipia muda wa maongezi wa Kingunge N. Mwiru?

    Huyu atakuwa pre-unit hata darasa la kwanza bado hajaanza
  6. M

    Wakazi wa Kibamba kufanya maamuzi magumu

    Mdee lazima achukue kura yangu
  7. M

    Lowassa katika kashfa mpya! Ni ya uuzwaji kiholela wa UDA

    Kura yangu kwa lowassa tyuu, dr masaburi ametoa majibu kwa makalio hajatumia ubongo, na hatudanganyiki ng'oo
  8. M

    Wizi wa Kura Wanaswa, Mpango Mzima Huu Hapa

    Kafungulie kesi kama kwel, mmeshikwa pabaya ficiem
  9. M

    Serikali yawajibu UKAWA kuhusu safari za Rais

    Ni utumbo mtupu unaozungumzwa na serikali, sasahiv hatudanganyiki ng'ooo
Back
Top Bottom