Vibaya vibaya yaan ni mbaya kabisa wabongo kutojiamini kulingana na elimu tulizonazo wote tunakimbilia elimu za juu.tukiwa na malengo ya kizamani mpaka tunauficha ujuzi wetu binafusi
Huyu ndiye jambazi,gaidi wa kwanza kutangazwa na raisi kwa kukamatwa na vyeti feki
[emoji85] [emoji86] [emoji85] [emoji86] [emoji85] [emoji86] [emoji85] [emoji86] [emoji85] [emoji86]
Picha badae
Kwan ni lazma kutumia.co.tz.
kama kitu kimesimama na kinajulikana wapi kinatoka kitapendwa tu.
Haki iko wapi tuacheni uzee ivi hao walio tcra wametumwa.kweli wananfanya nimkumbuke Jana wakati natiza TV usiku ITV malumbano ya hoja kuna mzee alisimama akasema tanzani atupend kutoa nafasi kwa...
Attention attention kama una calenda ya mwaka 1995 basi haina haja ya kununua ya mwaka 2017 kwani zimefanana... Hii ni kwenda sambamba na bajeti ya uongozi wa awamu ya 5...chukua mark pen badilisha mwaka✍[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mke wake, alipofika dukani akawa amesahau size gani. Mama muuzaji akamwambia: "Usijali, njoo unishike matiti yangu ulinganishe na hayo ya wife wako labda utakumbuka ukubwa wa sidiria ulioagizwa, "Mzee kuona hivyo akasema: "Niliagizwa na chupi!"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.