Get original Samsung power bank, cost effective @ 40000 tzs only with 1 yr warranty. Dont lose your business because of empty battery.
Please call 0654438201 now!
Habari za kazi wakuu wa kazi.
Naomba msaada kwa yoyote mwenye uzoefu au mwenye sample ya kitu kinaitwa SALES PLAN. Nahitaji kuingiza bidhaa zangu za simu sokoni, naomba kama kuna mwenye uzoefu au sample anitumie katika e-mail hii apa, dmmayunga@gmail.com
Asanteni sana
Sales Executive 10 Posts.
Red Dot solutions deals with supplying of I.T products to different clients in Tanzania. We currently are specifically looking for enthusiastic sales executives to help find markets and sale of mobile phones to different territories allocated.
Requirements
-Minimum...
Sales Executive 10 Posts.
Red Dot solutions deals with supplying of I.T products to different clients in Tanzania. We currently are specifically looking for enthusiastic sales executives to help find markets and sale of mobile phones to different territories allocated.
Requirements
-Minimum...
Skymoo co. Ltd needs dedicated and committed applicants with not only entrepreneurship mind but those with experience in organizing events, such as in music, film, politics festivals or any other forms of public event. They should possess extensive knowledge on preparing excellent event proposal...
Hata kama ukisema unafanya biashara ndogo ndogo utaambiwa uweke TIN/Leseni kaka. Mbona zipo mbinu nyingi za kutumia kama upo seriously unahitaji passport. Kuliko mbinu ya kutoa hongo inaweza kukuingiza matatizoni bure. Ukihitaji sababu ya safari karibu nitakusaidia bure
Kama unataka tu kuandaa passport mapema na sababu ya safari huna. weka namba yako apa nikuelekeze cha kufanya. Ni rahisi sana, sababu hawa maafisa uhamiaji hutumia kigezo hicho vizuri sana kunyima watu visa
Ndugu huhitaji kutoa pesa yote hiyo kupata passport. Unahitaji tu kufata taratibu zote husika. Kama kua na docs zote, kama vile cheti cha kuzaliwa, Id yako, affidavit ya mzazi, barua utambulisho kutoka (serikali mtaa/kazini/shuleni-chuoni), barua ya sababu ya safari. Au kama mfanyabiashara...
Nadhani mhusika ameshaelewa kuhusu hilo. Ni kweli ulichosema ndugu. Japo kikubwa ni kwamba, wazungu hata kama wanakuja kwa visa huku kwetu. Hupata visa kwa mashart nafuu sana, tena kwa kubembelezwa. Sisi watz tunanyanyaswa sana na tunakua discouraged kufanya zoezi hilo
Nilifukuzwa kazi ubalozini baada ya kile kilichoonekana kua nilikua naaprove visa kirahisi bila kufata taratibu za balozi. Nilichukizwa sana na swala la watanzania kuwekewa vikwazo vigumu sana ktk swala la visa. Wakati nafahamu wao wanafika nchi hii wa masharti rahisi sana, tena % kubwa...
Ningefurahi ungepost kile unachohitaji hapa ili umma kwa ujumla waweze kufaidika pia. unaweza kuni PM namba yako kama tu una specific info unaihitaji. Maana lengo hapa ni watanzania kwa ujumla waweze kufaidika. Kumbuka kusafiri popote duniani ni haki yako ya msingi, ila binadamu wameweka misingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.