Recent content by Mchuja Nafaka G

  1. Mchuja Nafaka G

    Upotevu wa Mafuta bandarini: Mtendaji Mkuu WMA, Meneja Vipimo wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Enyi kizazi cha wabwekaji katika mitandao ya kijamii, ni nani alikuambieni jiwe litahama kutoka mkono wa kushoto kwenda upande wa kuume pasina kuvuja jasho? Ni maarifa gani tunahitaji tuweze kuelewa ni tunahitaji vitendo? Malipo yenu mmekwishapa, kama inavyojidhiirisha faida ya mjinga ni...
  2. Mchuja Nafaka G

    Askofu Gwajima na Mbunge wa Kinondoni, wazuiwa kumuona Mufti Mkuu Muhimbili

    labda kama nyuzi yake iwe uzushi, lakini kama yametokea ni upuuzi na ujinga kuweka mikingamo. kuweka utaratibu namna wengine wanavyopaswa kutumia haki zao.
  3. Mchuja Nafaka G

    Tv station taifa za afrika ni wapambaji wa watawala

    Televisheni za taifa hazina tofauti sana na SHOW za vikatuni "pika bom puppet show" ya Startv TAARIFA YA HABARI YA MKOLONI.
  4. Mchuja Nafaka G

    Kwanini kuna muda wa kuisha matumizi kwenye vitambulisho vya Taifa?

    ni uhuni na kujitengenezea fursa, hakuna umuhimu wala sababu za msingi kufanya hivyo.
  5. Mchuja Nafaka G

    Tv station taifa za afrika ni wapambaji wa watawala

    Uliona alichokutana nacho Tido Mhando alivyoendesha TBC kwa uweredi na taaluma yake? "wajibu wako kuyatenda yanayompendeza aliyekupeleka, na haki yako ni kupokea mshahara na posho" usifikirie heshima yako katika jamii bali vitu viwili "wajibu wako, na haki yako"
  6. Mchuja Nafaka G

    Sura za hawa watu hazifanani na kutungua helikopta

    watu wana roho mbaya na wametunza ghazabu mioyoni mwao kuliko unavyoweza kufikiri kwa kuangali sura zao ususani wakiwa na tabasamu murua
  7. Mchuja Nafaka G

    Kwanini Ney hawasemi Clouds Media

    Kuna mambo mengi yakufundisha jamii yetu kwa ujumla ikaelimika au ikaachana na mabaya inayofanya. Lakini Ney Wamitego kuwalenga masupastaa ni kama anataka kutafuta kick kupitia majibizano. Sababu mengine kaingilia personal life ya mtu, sio lazima demu wangu umuone mimi sijui mshamba labda lkn...
  8. Mchuja Nafaka G

    Tv station taifa za afrika ni wapambaji wa watawala

    Tanzania hali uwa mbaya zaidi kwa sababu StarTV, Channel 10, Clouds TV zilikuwa zinatekeleza maagizo ya makada wa chama tawala nakuacha ITVDaima pekee kuwa sehemu pekee utamuona Hashim Rungwe Spunda, Mama Anna Mghwira, na UKAWA sana. sasa ukienda TBC ndio ungeweza amini upinzani ni MAGAIDI
  9. Mchuja Nafaka G

    Kwanini kuna muda wa kuisha matumizi kwenye vitambulisho vya Taifa?

    Utaifa wa mtu ni suala la kurenew?
  10. Mchuja Nafaka G

    Ikulu yatoa sababu ya Rais kutohudhuria sherehe ya mabalozi

    aendelee kujipiga brush hadi atakuwa sawa ndipo aanze kusafiri na kukutana nao
  11. Mchuja Nafaka G

    Kwanini kuna muda wa kuisha matumizi kwenye vitambulisho vya Taifa?

    Kitambulisho cha utaifa wa mtu hakuna tofauti na Tax Identificatio Number haipaswi kuisha muda huo ni uhuni, ni sawa na birth certificate hakipaswi kuwa na expire date
  12. Mchuja Nafaka G

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Ni jambo jema kama maisha yako ya kila siku hayototegemea kwa haraka pesa ya urithi uliyopatiwa, kwa sababu biashara nyingi ufa kutokana na mambo matatu; 1. aina ya bidhaa uliyochagua kutoendana na mazingira 2. aina ya biashara unayofanya haiendani na mahitaji yako ( inachukua muda mrefu...
  13. Mchuja Nafaka G

    Majaliwa: Watanzania iombeeni serikali. Asema kazi ya kutumbua majipu ina mtihani mkubwa

    Suala la kushughulika na majipu inahitaji ushirikiano baina ya viongozi wa serikali (rais, waziri mkuu, mawaziri) na taasisi muhimu kama takukuru, polisi na mahakama bila kusahau wanasiasa wa vyama vyote. Lakini JPM na Majaliwa mmeonyesha ubabe kwa mambo yasiyohusu majipu mfano BUNGE LIVE, na...
  14. Mchuja Nafaka G

    Tuliposema Kikwete alikausha Hazina watu walibeza, Magufuli kawaumbua

    Nalifahamu kwamba sio rahisi mtu kwenda hazina na kuchota pesa yote na kuacha vibubu utupu Nalitafakari habari kwamba hazina yakaushwa, aah! labda akaunti kubakishwa na kiasi kidogo cha pesa lakini sio kuachwa utupu ghafla. Siwezi kulisemea jambo ambalo sina uhakika nalo kwa asilimia mia moja...
  15. Mchuja Nafaka G

    Kila kitambulisho cha Taifa kimegharimu tsh 89,800

    aiseee bilioni ina sifuri 9 1,000 elfu moja 1,000,000 milioni moja 1,000,000,000 bilioni moja
Back
Top Bottom