Habari za kazi wadau? Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa katika mkoa wa Singida, mbali na kuajiriwa nimeona kuna fursa ya kufanya biashara ya kununua asali kwa wafugaji wadogo na kuifunga katika chupa za lita moja na nusu lita, na sasa nimefikia hatua ya kukopesheka katika taasisi moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.