Recent content by MBEBA MAONO KAJA

  1. MBEBA MAONO KAJA

    Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

    Lisu Ni Nani kwenye hii nchi?
  2. MBEBA MAONO KAJA

    Serikali inazingatia Ibara ya 14 ya Katiba dhidi ya COVID-19?

    Subiri Wakenya na Waganda wamalizwe kuchanjwa ili tuwe na uhakika na hiyo chanjo maana picha za wanaokufa baada ya chanjo nazo zonatisha. Tuendelee kujifukiza.
  3. MBEBA MAONO KAJA

    TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

    Ikilamba hao top 5 ndipo dawa itakuwa imepatikana au itakuwaje hebu fafanua hapo?
  4. MBEBA MAONO KAJA

    Askofu Mwamakula azungumzia "matembezi ya hiyari"!

    Haogopi Corona? Dhambi zimeshaisha kwa kondoo wake mpaka aingilie masuala ya serikali?
  5. MBEBA MAONO KAJA

    Mabadiliko ya Kurugenzi CHADEMA Makao Makuu hayatakuwa na tija bila kumng'oa Mbowe

    Yeye Azuie kifo? Serikali ichukue hatua zipi zaidi wakati umetahadharishwa na wizara haijabadilisha measures pia umeambiwa tumia na dawa asilia Kama tiba mbadala? Unataka serikali ikubebe mgongoni?
  6. MBEBA MAONO KAJA

    TANZIA Medi wa Ngara Oil afariki Dunia

    Anataka Rais aseme kifo marufuku hapa Tanzania nacho kifo kitamtii...
  7. MBEBA MAONO KAJA

    TANZIA Medi wa Ngara Oil afariki Dunia

    Wapi alisema hakuna ugonjwa? Halafu akisema upo au haupo ndio inaondoa ukweli na uhalisia wa huo ugonjwa? Huko kwenye matangazo daily ndio ugonjwa umeisha kwa matangazo ya Rais? Chuki ZINGINE zihamishie shambani
  8. MBEBA MAONO KAJA

    TANZIA Medi wa Ngara Oil afariki Dunia

    Kwahiyo unasubiri Rais akuambie unawe mikono, uvae barakoa, n.k? Basi sawa
  9. MBEBA MAONO KAJA

    Matangazo ya Bunge yakatishwa baada ya Mbunge kusema Wananchi wanapita kwenye "makalio"

    Huyu jamaa ndio alihusika na mateso ya Dr. Ulimboka wakati ule, aliwekwa front page za mwanahalisi....baadae tukaambiwa Ni mkenya ati! Ila Dr. Ulimboka ulisaliti madaktari wenzio
Back
Top Bottom