Recent content by mbea

  1. M

    Elections 2010 Wana JF Tumeiangusha CHADEMA, tumewaangusha watanzania, tumemsaliti Dr Slaa

    Inaonyesha wewe bado kinda kimawazo hata kufikiri kidogo washindwa!Kakobe kafunga kanisa siku ya jumapili na aliwaamuru wafuasi wake wakampigie kura Bob Silaa,wakristo wote tanzania tulipewa amri ya kukesha usiku wa kuamkia 31/10/2010 kumuombea bob Silaa aingie Ikulu(inawezekana wewe si miongoni...
  2. M

    Elections 2010 Wana JF Tumeiangusha CHADEMA, tumewaangusha watanzania, tumemsaliti Dr Slaa

    Ili tuungane inabidi Chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.
  3. M

    Haikuwa rahisi

    Chadema wamefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,fuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  4. M

    Elections 2010 Pole Dr.Slaa

    Hata wewe Lukolo!Mbona unaheshima sana katika jamii sasa wataka kujivunjia!Acha hizo mkuu.
  5. M

    Elections 2010 Baada ya kushindwa atolee uso wake wapi?

    Taarifa zisizo rasmi yupo hoi nyumbani kwake majani ya chai anaona haya kutoka nje kwa aibu,pole mkuu hiyo ndio demokrasia.
  6. M

    Elections 2010 Pole Dr.Slaa

    Pole sana Dr. Slaa kwa kushindwa lakini inakubidi ukubali matokeo na kama umeonewa basi nenda kwenye tume ili uweze kufungua mashtaka. Licha ya kupigiwa debe na baadhi ya makanisa uchwara yasiyo na tija kwa watz pamoja na asasi zinazojiita za kiraia badala ya kusema ukweli ni za kidini(angalia...
  7. M

    Elections 2010 JK atangaza USHINDI

    Kauli na matendo yako yanafanana na hiyo avatar yako,shame on you!
  8. M

    Elections 2010 AJABU: Kikwete amepata kura nyingi kuliko Dr. Slaa kwenye Jimbo la Mh. Mbowe?

    Watu fulani wakifulia hawakosi visingizio,eti yule jamaa katuangalia vibaya ndio maana tumeshindwa!Mijitu mingine bibi!
  9. M

    Elections 2010 NEC aibu, CCM aibu, Tanzania aibu!

    Acha ujinga jina lako zuri fanya kazi!
  10. M

    Elections 2010 Hivi kweli Watanzania hawataki kujenga nyumba bora kwa bidhaa bei poa?

    Baba mkwe wake analala katika kiheme cha udongo kilichoezekwa kwa nyasi,leo aje akufanye wewe mkurya ujenge nyumba ya tofali kashindwa nini kumjengea mkwewe?!Huyo ni mzee wa porojo hana tofauti na ze komedi 2
  11. M

    Elections 2010 Slaa Atafanya nini baada ya kuapishwa JK?

    Atakuwa akitindua kinu kwa raha zake!Si unamjua Dr.alivyo!
  12. M

    Elections 2010 Angalizo kali kwa Watanzania wote mara baada ya jk kutangazwa rais.

    Kawadanganye mazumbukuku wasiojua ulimwengu ulivyo!Mmefulia,nani ampe urais mtaka dini?
Back
Top Bottom