Recent content by Mashimba1

  1. M

    Mwaliko.

    Ukiona hivyo, ujue leo bibi yako nyumbani kachachamaa, hakukaliki hata kidogo.
  2. M

    Mwaliko.

    Ha ha ha haaaaaa,
  3. M

    Mwaliko.

    Hata wewe unakaribishwa.
  4. M

    Mwaliko.

    Hata siyo mtongozo mkuu wangu. Nikubadilishana uzoefu wa maisha. BTW, hivi bado kuna watu wanatoa hela....!?
  5. M

    Mwaliko.

    Ikiwa kuna mrembo yupo hapa mitaa ya MAC RESTAURANT, njoo tuzungumze kidogo.
  6. M

    Maajabu: Hii midoli ya kufanyia mapenzi imekaa vipi ndugu zangu?

    Kuhamia huko itakuwa zaidi ya ukichaa. Hujui kama hizo kero zenu kama ni mojawapo ya kichochoe cha mapenzi. Maisha bila changamoto mwisho ni ujuha. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    19 records studio live on muosha rungu TV show

    Nini sifa ya kuwa mwanamke bora!? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Business ideas (Bure)

    Mkuu, nenda taratibu. Sijui Geita gani anayoizungumzia huyu ndugu mwananchi. Siku hizi hakuna utitiri wa ma konta....!? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Business ideas (Bure)

    Mkuu, ukitaka kufanikiwa ki biashara, usiwaze faida kwanza. Tengeneza ndoto kwanza halafu fijiria namna gani utafanikisha ndoto yako. Faida itakuja baada ya juhudi zako na namna unavyoendeleza ndoto yako. Hivyo kama unataka kufanikiwa, acha kufikiria faida kwanza. Acha faida ije kama matokeo...
  10. M

    Naomba kufahamu bei ya Mitsubishi Rosa

    Mkuu hata 50 usilipe. Bora ununue Costa. Post sent using JamiiForums mobile app
  11. M

    Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mnavijimambo humu! Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  12. M

    Mwanamke usikubali upweke olewa

    [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
  13. M

    Mwanamke usikubali upweke olewa

    Sijawahi sikia mwanaume akienda kwa waganga/kanisani kuombewa apate mke, lakini kwa manawake hilo ni jambo la kawaida.
Back
Top Bottom