Recent content by marimba

  1. M

    Ajari za barabarani, Mbinu gani itumike kuzizuia/kuzipunguza.

    Ajali usiku zote chanzo ni Trafic na wakiukubali ukweli huu na wakakubali kubadilika ajali zitapungua au kwisha kabisa, lakini wakitupa Moira kwa madereva na wao wakajitoa basi tutaendelea kuchinjwa na hizi ajali.
  2. M

    Watu 15 mbaroni kwa njama za Kutaka kumtorosha Mchungaji Gwajima

    Usitukane mkuu, ki ukweli Gwajima ni mhalifu kama wengine, yeye ni kiongozi wa kiroho, kwanini atoe lugha isiyokubalika kwa watu wengine, kuwa kiongozi wa kiroho kunahitaji kuwa na BUSARA za hali ya juu na kuvumuliana kwa wale msiokubaliana nao. Kwa sisi ma GT tunaanza kuamini tuhuma lukuki...
  3. M

    VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

    Dar es Salaam Young Africa is the champion of the VPL- 2014-2015
  4. M

    Kwanini viongozi wa Simba wako hivi

    Ni huyo Hanspope wa Simba, acha kudanganya wewe!
  5. M

    Prof. Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika

    Tusitoke mapovu bure, si anasema ana data, tusubiri hiyo teh 27 tuone yupi mkweli kati yao, maana km hela imeshagawanywa, nasi wa tz tunaitaka hela yetu, kikubwa ni kujua ukweli wa nani mwizi na tumbili nani? Pia kwann mzee wa musoma v anaumwa kule uk, isijekuwa sanaa, maana nae ni fisadi...
  6. M

    Dkt. Mwakyembe: Bunge liiombe radhi Mahakama

    Leo ndio nimeamini JF hakuna GT, yaan kwa kumlaum mtu ambaye anawaeleza kuwa Bunge limekurupuka kuishambulia Mahakama kwa tuhuma hewa mnamponda, kwa ufahamu wangu taasisi zote za umma hufanya kazi kwa Maandishi na siyo uvumi,sasa Bunge letu limeamua kufanya kz kazi kwa kuhisi, kama Mahakama...
  7. M

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Malinzi kiuhakila kabisa haki haikutendeka ktk suala la kumfungia Ndumbaro, naamini hata wewe unafahamu hilo, au wewe na kamati yako mkiambiwa Ndumbaro kosa lake ni nini? Naamini hamtakuwa na jibu la kisheria kwa sbb yeye aliteuliwa na vilabu kama MWANASHERIA na siyo mjumbe wa bodi ya ligi, kwa...
  8. M

    Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

    Masihara hayo, gen Kamazima yuko jeshini kabla kagame hata hajawa muasi, nafikiri alikuwa bado shuleni, labda kk jambazi kipindi hicho ulikwa bado kwenye mguko wa k,or.o..dani! Maana kwa mtu anaejua hawezi kukurupuka na kuchangia km ulivyofanya wewe na baadhi ya wachangiaji wengine.
  9. M

    Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

    Kaitaba vp wakuu?
  10. M

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom mtandao wa kijinga sana, kuanzia tarehe 1 naanza kutumia Tigo,maana nimehitaji huduma yao ya mpawa lakini sijafanikiwa utafikiri ni maombi ya kazi, nimepiga ccare, nimeenda kny maduka yao na nimetuma shida yangu kny ukurasa wenu hp JF. Nimeamua kubwaga manyanga.
  11. M

    Mwanamke aliyejinusuru kubakwa na kumuua mbakaji, ahukumiwa kunyongwa

    Hizi mahakama zingine za kipumbavu kabisa, yaan anaieleza mahakama kuwa amemuua bila kukusudia ktk kujilinda na kitendo cha ubakaji alichotaka kumfanyia lakin wanatoa hukumu kama hiyo ya kifo, yaan mataifa ya mashariki ya kati si sehemu salama kwa mwanamke kuishi, hapo huyo mwanaume angefanikiwa...
  12. M

    Kumbe Diamond ana nyodo kiasi hiki

    Mtu yeyote anayeijua kz yake hawezi kukubali kuburuzwa, kwahy hata yeye hawezi kukubali kwa mfano, TI alipwe usd 50m halafu yeye alipwe 1m, huu ni upuuzi, ila kama mmeamua kumjengea fitina ili aonekane wa ovyo kwa kudai malipo yenye kueleweka ni sawa kwa upande wa wapuuzi, lakini sisi...
  13. M

    Makosa Makubwa 3 ya Diamond ni haya

    Mkuu ni kweli watu wenye chuki binafsi wanamchukia Diamond kwa kuwa tu amefanikiwa kupitia muzik, haya ndio matatizo ya kuendekeza njaa za buku 5, huwezi kumlinganisha Diamond na Ali Kiba, ktk single zake zote ni 3 tu ndizo zilizohit halafu ajilinganishe na mtu ambaye ametoa single zaidi ya 40...
  14. M

    Tofauti kubwa ya Ally Kiba na Diamond hii hapa

    Tatizo kubwa hapa Bongo, msanii yeyote akikataa kuburuzwa na hao akina Kusaga na wenzao( clouds media) ndio wanaanza kumsanyia fitina za kumshusha kisanii, tuliona kwa Sugu, Jaydee na sasa Diamond, hawa ni wasanii wanaojielewa, na wanajua nini wanafanya, mbona Mwz hakuzomewa na sehem zingine pia...
Back
Top Bottom