Kaka sijaelewa hapo takwimu za uwezo halisi wa bandari hizi ;mfano Mombasa uwezo wake ni kuhudumia kontena 600,000 kwa mwaka lkn kwa sasa inahudumia kontena 903,000 . inamaana imevuka uwezo wake halisi? kama ni hivyo basi ni itakuwa na ufanisi zaidi nieleweshe...
Vyombo vya tulivyovikabithi ulinzi na usalama watu vimeshindwa kutupa majibu, tumebaki kushutumiana na kutukanana wenyewe, wawajibishwe,wanatuharibia amani yetu
Jana nimesikia speech yake ktk mahafali ya sekondari ya Masburi,eti wananchi wasiilamu serikali endapo watoto wao wanasoma shule ambazo hazijasajiliwa kwavile serikali imetoa utaratibu wa kusajili shule.swali je jukumu la kuhakikisha taratibu na sheria zinafuatwa ni la nani? Shule inajengwa...
Nilitaka kukopa saccos ni kama million 10, nilitakiwa kudiposite 20%(2m)ambazo zitarudishwa nikimaliza mkopo, then kunaghrama za mkopo,nikajikuta kimsingi nitapata 6m,nikakimbilia access bank
Na kama ktk hiyo miaka 65 nilifanya kazi mwaka mmoja tu, labda nilipokuwa na miaka 30 ndio niliweka nssf. Itabidi nisubiri miaka 35 ili nilipwe?je hiyo pesa itakuwa na thamani baada ya 35yrs?wafikirie tena, hiyo gumu banaa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.